Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
Hapo conway magomeni kagera sasa ivi pamekua pakifala, manager wa hotel yule jamaa mweusi sometime amacheza mapicha niligongewa mlango kufungua nakuta raia kibao,, hivi karibuni niliwaletea kisanga cha hatari hadi leo kesi iko polisi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.

Body without head
Mkuu inaoneana mwenyeji sana eneo hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gesti ina vyumba vikubwa mnaweza cheza rede na mume wa mtu.
Bafu kama chumba cha kupanga Mabibo kota.
Ila ya kizamani sana.
Gari inapaki mlangoni kwako

Na kuna ile moja iko pale Malapa.
Gesti ina ngazi na makona kona kama unaenda akhera.

😂😂😂😂😂😂le madame herself!nakumiss kinyama
 
Back
Top Bottom