Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Kwa dau hilo yeye mwenyewe kaguna guna mwisho kasema kukataa ni ngumuu 🤣🤣
Huyu mzee alikuwa anatoa madau makubwa wengine wanasema usd10,000 wengine wanasema usd40,000.


Hayo madau ni vigumu mno mdada kukataa 🤣



Mfano mke wako kaliwa na huyo mzee akampa usd40,000 halafu mke wako akakupa Usd20,000 ili umsamehe, utazipokea hela au utazikataa?


Ongea ukweli.
 
Waafrika tuna viongozi na utawala wa kijinga sana. Sasa mtu anatuhumiwa kwa ufisadi, mmeenda kupekua makazi au ofisi yake, na kukuta mambo mengi ikiwemo hizo tepu za ngono, Serikali na watu wake ndio ya kwanza kuziweka mtandaoni na kusababisha sokomoko linaloendelea! Unajiuliza tuna akili sisi au ni kukomoana na roho mbaya tu?
 
Bora uoe standard seven au form 4 failure wa Kijijini kuliko wasomi wa chuo au Watumishi,hao ni mafuska pro max na hawanaga aibu.
 
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…