Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Status
Not open for further replies.
Kumbuka huyu Bw. Baltasar alikuwa ndiye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha. Kwa vyovyote vile aligundua "suspicious transactions" nyingi zenye kuhusiana na "money laundering" zenye kuhusiana na akina mama hao aliowala uroda kiulaini.

Kuna uwezekano mkubwa ilikuwa ni "blackmail" kwa njia ya "duress or undue influence" Jamaa alitumia hila ya kuwala vipago kwa kuwa walitambua jamaa alikuwa na ushahidi wa kuwatia kitanzani, na kwa hofu hiyo, walikubali kufanya hivyo ili kuuwa soo.
 
Wanawake wadhaifu sana kwa mtu mwenye pesa.mfano tuchukulie tajiri afrika aliko dangote Kuna mwanamke yeyote mtanzania anaweza kumkataa akimtaka?lazima ataenda Naye tu.
Kama baltasar kawala sababu ana pesa nyingi, embu explain hiki maana amekula mke wa mwanasheria mkuu, sijui dada ake raisi, na wake za viongozi wakubwa serikalini, unataka kuniambia hao wanawake wanaume zao hawakua pesa? Labda na dada zangu mu- Explain this Sappire To yeye Makiwendo Kelsea Ms R Numbisa Madame B
 
Kweli nitafute pesa aisee nitakula wengi sana, kama jamaa umri umesogea ila kawala 400, mimi je? Lol HA!HA!HA
 
Wewe ni mkomavu, mambo umeyaeleza kwa akili.

Na hilo la mwisho sijui maiti kufanyaje, mi nimeshuhudia huo mkasa.

Tumeweka kambi njiani kupumzika ili kesho tuendelee na msafara wa kusindikiza maiti tukielekea kwao kuzika, jamaa likamchukua mfiwa, yaani mke wa marehemu na kufanikiwa kwenda kumlala, huku maiti ya mume ikiwa ndani ya gari!

Hilo lilinifikirisha sana namna ya kuziweka kwenye uzani akili za mjane wa marehemu, kwamba alikuwa na utulivu gani wa akili kupelekea kuridhia kitendo hicho, au alikuwa na chuki na marehemu mumewe, sikupata jibu.

Hili la Baltasar naona ni cha mtoto, bila kufanya mambo ya kiGwajima asingelijulikana kudadeki.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…