Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

Kama ushirikina rahisi hivyo mbona wengi sisi maskini?

Hivi kwa hali ya kawaida kweli maskini tunavyopenda kurogana tunavyopenda hayo mambo leo kuna angekuwa hana hela?
Unaziweza code Mkuu ?
Kuna dogo katoka kupigwa Pu***u na beberu 🐐 la mbuzi maeneo ya michungwani Tanga ana vichenchi balaa
 
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Kafara ya Punje unaijua au unasikia? Hiyo wanachukua Wanaume tu
 
Pia anasema yeye ni "self-made millionaire", yaani milionea aliyejijengea utajiri wake mwenyewe.
1. Bahati 2. Deals chafu
Anaweza kuwa self made lakini kwa deals chafu, watu kama hao hutokea kwa uchache, mfano Pablo Escobar, Pablo alikuwa ana pesa mpaka serikali ikawa inamuogopa...

Pablo alikuwa ana semi submarines , zinapita chini ya maji zimebeba tani 2 za cocaine kwenda Puerto Rico, alikuwa ana speedboats zinapeleka cocaine Miami...

Tani 2 za cocaine kwa sasa thamani yake ni dola milioni 60... Sawa na bilioni 157 na pointi kwa Tshs.. hio ni route moja , kodi halipi...

 
Ninachojiuliza ni kwamba, Mke wa Chivayo pamoja na watoto wake nao pia walikula hiyo punje?

Kwanini attention iwe kwa Chivayo pekeyake na siyo kwa wahanga wengine, (Mke na watoto wake)?
 
We wakishua
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Mkuu. Kwani huo utajiri wa punje za kuku unapatikana wapi?🤔🤔
 
Ninachojiuliza ni kwamba, Mke wa Chivayo pamoja na watoto wake nao pia walikula hiyo punje?

Kwanini attention iwe kwa Chivayo pekeyake na siyo kwa wahanga wengine, (Mke na watoto wake)?
Watoto wapo hai na mama yao mzazi.
 
Jamaa aliwahi hadi kufungwa jela kisa utapeli lakini wabongo akili zetu zimekwama kwenye maswala hayo
Mkuu mbona hata Mimi nishawahi kukaa lock up zaidi ya mara mbili na bado dira haisomi?
 
Huyo alikua kwenye magenge ya kimafia..!!

Si unajua michongo ya hao watu?

Huyo alikua muuzaji na msambazaji mzuri wa silaha, ana Godfather wake yeye anatangulizwa front kusafisha hali ya hewa..!!

Kwenye madili yeye anaingia kama broker maboss wenyewe wametulia, wanatoa maagizo..!!
 
Mkuu mbona hata Mimi nishawahi kukaa lock up zaidi ya mara mbili na bado dira haisomi?
Yeye alishushwa kwaajili ya utapeli. Wewe hizi mara mbili ilikua kwaajili gani?
 
Hakuna utajiri wa kishirikina.

ungekuwepo kila mtu angeenda kuutafuta hakuna mtu anaependa kuwa maskini.
Ushawahi kufanya biashara ndugu.Hata tukikupa bilioni na ofisi kariakoo au kuchimba madini hapo nimekwenda mbali kuajiliwa .

Kwa nini naitwa kaka yake shetani.

Ujawahi kujua shetani
 
Utajiri wa kishirikina upo.. Shetani mwenyewe alimwahidi kumpa Yesu utajiri na mamlaka yote ya dunia kama angemsujudia. Ndiyo. Utajiri wa aina hiyo upo. Tunayoyaona huku kwenye machimbo yanatisha. Sema masharti yake ni magumu sana na mganga wa kweli atakwambia kabisa utajiri wa aina hii wewe kijana huuwezi; au utakuletea matatizo. Nina mifano mingi ambayo siyo ya kusimuliwa bali nimejionea mwenyewe. Hata sasa hivi hapa kuna dogo hapa ametibua masharti kizembe ndugu zake wanahangaika waone kama wataweza kuokoa maisha yake. Halafu ndo kwanza anagonga 27!

Nisifiche. Mimi mwenyewe nilishafika kilingeni zamani sana lakini alichoniambia bibi yule nilimkatalia aisee. Unaweza ukadhani kuwa hupewi masharti magumu lakini ukitoka hapo ndiyo unagundua kuwa ushauvaa mkenge. Na wakati huo Grace period unakuta ilishapita. Ni hatari sana!

2774947a-8bcd-4f96-a02b-e57b751d949f.jpeg
 
Back
Top Bottom