Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

Unaziweza code Mkuu ?
Kuna dogo katoka kupigwa Pu***u na beberu 🐐 la mbuzi maeneo ya michungwani Tanga ana vichenchi balaa
Katika haya mambo wengi sana wanapambwa kwenye mazuri wanayofanya, na Yale mabaya yanatetewa mno hususani na machawa wao..
Binafsi nakubali wapo watu ambao ni hustler na wamehangaika sana kufika level za juu..

Lakini pia lazima tukubali madon wengi ambao hawatoki maisha mazuri wamefanya Ile Business ya Poda, wameuza utu wao au Uanaume wao (Maagano) n.k.
 
Utajiri wa kishirikina upo. Tunayoyaona huku kwenye machimbo yanatisha. Sema masharti yake ni magumu sana na mganga wa kweli atakwambia kabisa utajiri wa aina hii wewe kijana huuwezi; au utakuletea matatizo. Nina mifano mingi ambayo siyo ya kusimuliwa bali nimejionea mwenyewe. Hata sasa hivi hapa kuna dogo hapa ametibua masharti kizembe ndugu zake wanahangaika waone kama wataweza kuokoa maisha yake. Halafu ndo kwanza anagonga 27!

Nisifiche. Mimi mwenyewe nilishafika kilingeni zamani sana lakini alichoniambia bibi yule nilimkatalia aisee. Unaweza ukadhani kuwa hupewi masharti magumu lakini ukitoka hapo ndiyo unagundua kuwa ushauvaa mkenge. Na wakati huo Grace period unakuta ilishapita. Ni hatari sana!

View attachment 3683279
Bora wewe umeeleza Ukweli..

Watu wengine hawaamini kwamba utajiri wa kishirikina upo, wakati watu kibao twawaona wa dizaini hiyo..
 
Ninachojiuliza ni kwamba, Mke wa Chivayo pamoja na watoto wake nao pia walikula hiyo punje?

Kwanini attention iwe kwa Chivayo pekeyake na siyo kwa wahanga wengine, (Mke na watoto wake)?
Watoto wapo, hawakuwepo kwenye hiyo ajali
 
Umemjua lini Chivayo?
Tokea miaka ya tisini akiwa kijana tu alikuwa kwenye heka heka nzito.
Umewahi kumsikia Mponjoli?
Dr Ponjo (Mponjoli ) alikuwa smart sana kawabamiza sana wazungu kwenye magari ya kifahari. Ingekuwa kizazi hiki cha mitandao chawa wengi wangekuwa wanampigia yowe za kuokota pesa,miaka ile alikuwa analeta bongo gari za kifahari
 
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Mkuu utapewa stori za vijiweni tu kama ulivoanzisha mada kijiwenijiweni.

Yaani mtu yuko bongo awe na taarifa sahihi za Chivayo tena za utajiri!!!?
 
Bora wewe umeeleza Ukweli..

Watu wengine hawaamini kwamba utajiri wa kishirikina upo, wakati watu kibao twawaona wa dizaini hiyo..
Mimi siko hapa kubishana wala kumwaminisha mtu cho chote lakini ninachokisema mwenyewe nimekishuhudia. Kama kuna mtu yupo * au aje hata kesho nimpeleke kwa bibi mmoja anaitwa **. Aje na sarafu moja nyeupe, kioo kidogo na kipande cha mnyaa basi. Malipo ni baadaye sana! Na akibahatisha mara nyingi masharti yake wala siyo magumu kivile na hayahusishi makafara wala nini.

Mfano huyu dogo niliyemtaja kwenye post hapo juu alipewa sharti moja tu la kutosema alichokiona. Aliambiwa aende sehemu kilimani usiku wa manane kuna jiwe kubwa. Pembeni yake kuna kama pango hivi. Aingie humo akiwa uchi. Humo pangoni atakutana na watu watatu na watampa kitu fulani. Halafu hao watu watammwagia kimiminika fulani kichwani. Yeye akipokee hicho atakachopewa na kimya kimya aondoke humo pangoni bila kugeuka nyuma. Sharti lilikuwa moja tu: Kamwe asije akamwambia mtu ye yote alichokiona wala kukisikia humo pangoni mpaka siku anakufa. Dogo akajiripua akatimiza masharti yote. Katoka chuoni na Bachelor of Law wala hana ajira akaja hapa machimboni kumbe anazuga tu. Dhahabu tayari alikuwa nazo. Kumbe ndicho alikuwa amepewa kule pangoni. Aliuza akapiga kama 2.8 bilioni hivi na hakuuza zote. Range Rover. Kahoteli kamoja kakali. Na akaingia rasmi kwenye buashara ya kununua na kuuza dhahabu. Akawa digala. Akaanza na kukopesha pesa. Zile za moto. Watu wa kwenye machimbo wanajua!

Bibi kumbe alimwambia asinywe pombe ili kulinda siri yake. Aaaa wapi. Pesa zinawasha. Pombe tena zile kali. Pisi za kila aina...kumbe siku moja akajisahau, pengine sababu ya pombe, akatoa siri. Hata hajui alimweleza nani. Na sasa tayari kimeumana vibaya sana. Kifupi ameuza kila kitu: magari, nyumba zote.... Kumbe anatakiwa kurudisha kila kitu - tena kule kule pangoni alikochukulia. Sijui kuna vitu gani vimepungua maana mpaka ndugu zake wanachangishana. Akisharudisha kila kitu inabidi arudi tena kwa yule bibi ili mwili ukasafishwe upya. Pengine ndiyo aanze tena harakati upya. Akishindwa kurudisha mali za watu kule pangoni basi watapita naye. Na deadline ameshapewa!

Ukiambiwa haya mambo utafikiri ni muvi kumbe yapo na yanatokea. Kwenye madini huku mh!!!
 
Hao
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Natamani hao wa vijiweni wanambie alikoutoa huo utajiri kishirikina ili nami niende. Nimechokana sana na umasikini.
 
Mimi siko hapa kubishana wala kumwaminisha mtu cho chote lakini ninachokisema mwenyewe nimekishuhudia. Kama kuna mtu yupo * au aje hata kesho nimpeleke kwa bibi mmoja anaitwa **. Aje na sarafu moja nyeupe, kioo kidogo na kipande cha mnyaa basi. Malipo baada ya mafanikio. Na akibahatisha mara nyingi masharti yake wala siyo magumu kivile na hayahusishi makafara wala nini. Mfano huyu dogo niliyemtaja kwenye post hapo juu alipewa sharti moja tu la kutosema alichokiona. Aliambiwa aende sehemu kilimani usiku wa manane kuna jiwe kubwa. Pembeni yake kuna kama pango hivi. Aingie humo akiwa uchi. Humo pangoni atakutana na watu watatu na watampa kitu fulani. Halafu hao watu watammwagia kimiminika fulani kichwani. Yeye akipokee hicho atakachopewa na kimya kimya aondoke humo pangoni bila kugeuka nyuma. Sharti lilikuwa moja tu: Kamwe asije akamwambia mtu ye yote alichokiona wala kukisikia humo pangoni mpaka siku anakufa. Dogo akajiripua akatimiza masharti yote. Katoka chuoni na Bachelor of Law wala hana ajira akaja hapa machimboni kumbe anazuga tu. Dhahabu tayari alikuwa nazo. Ndicho alichokuwa amepewa kule pangoni. Aliuza akapiga kama 2.8 bilioni hivi na hakuuza zote. Range Rover mpya 0 KM. Hoteli moja kali sana. Na akaendelea kununua na kuuza dhahabu. Akawa digala.

Bibi kumbe alimwambia asinywe pombe ili kulinda siri yake. Aaaa wapi. Pesa zinawasha. Pombe tena zile kali. Pisi za kila aina...kumbe siku moja akajisahau, pengine sababu ya pombe, akatoa siri. Hata hajui alimweleza nani. Na sasa tayari kimeumana vibaya sana. Kifupi ameuza kila kitu: magari, nyumba zote.... Kumbe anatakiwa kurudisha kila kitu - tena kule kule pangoni alikochukulia. Sijui kuna vitu gani vimepungua maana mpaka ndugu zake wanachangishana. Akisharudisha kila kitu inabidi arudi tena kwa yule bibi ili mwili ukasafishwe upya. Pengine ndiyo aanze tena harakati upya. Akishindwa kurudisha mali za watu kule pangoni basi watapita naye. Na deadline ameshapewa!

Ukiambiwa haya mambo utafikiri ni muvi kumbe yapo na yanatokea. Kwenye madini huku mh!!!
Na wewe ulipewa masharti gani mpaka yakakushinda?
 
Mimi siko hapa kubishana wala kumwaminisha mtu cho chote lakini ninachokisema mwenyewe nimekishuhudia. Kama kuna mtu yupo * au aje hata kesho nimpeleke kwa bibi mmoja anaitwa **. Aje na sarafu moja nyeupe, kioo kidogo na kipande cha mnyaa basi. Malipo ni baadaye sana! Na akibahatisha mara nyingi masharti yake wala siyo magumu kivile na hayahusishi makafara wala nini.

Mfano huyu dogo niliyemtaja kwenye post hapo juu alipewa sharti moja tu la kutosema alichokiona. Aliambiwa aende sehemu kilimani usiku wa manane kuna jiwe kubwa. Pembeni yake kuna kama pango hivi. Aingie humo akiwa uchi. Humo pangoni atakutana na watu watatu na watampa kitu fulani. Halafu hao watu watammwagia kimiminika fulani kichwani. Yeye akipokee hicho atakachopewa na kimya kimya aondoke humo pangoni bila kugeuka nyuma. Sharti lilikuwa moja tu: Kamwe asije akamwambia mtu ye yote alichokiona wala kukisikia humo pangoni mpaka siku anakufa. Dogo akajiripua akatimiza masharti yote. Katoka chuoni na Bachelor of Law wala hana ajira akaja hapa machimboni kumbe anazuga tu. Dhahabu tayari alikuwa nazo. Kumbe ndicho alikuwa amepewa kule pangoni. Aliuza akapiga kama 2.8 bilioni hivi na hakuuza zote. Range Rover. Kahoteli kamoja kakali. Na akaingia rasmi kwenye buashara ya kununua na kuuza dhahabu. Akawa digala. Akaanza na kukopesha pesa. Zile za moto. Watu wa kwenye machimbo wanajua!

Bibi kumbe alimwambia asinywe pombe ili kulinda siri yake. Aaaa wapi. Pesa zinawasha. Pombe tena zile kali. Pisi za kila aina...kumbe siku moja akajisahau, pengine sababu ya pombe, akatoa siri. Hata hajui alimweleza nani. Na sasa tayari kimeumana vibaya sana. Kifupi ameuza kila kitu: magari, nyumba zote.... Kumbe anatakiwa kurudisha kila kitu - tena kule kule pangoni alikochukulia. Sijui kuna vitu gani vimepungua maana mpaka ndugu zake wanachangishana. Akisharudisha kila kitu inabidi arudi tena kwa yule bibi ili mwili ukasafishwe upya. Pengine ndiyo aanze tena harakati upya. Akishindwa kurudisha mali za watu kule pangoni basi watapita naye. Na deadline ameshapewa!

Ukiambiwa haya mambo utafikiri ni muvi kumbe yapo na yanatokea. Kwenye madini huku mh!!!

Kuwa serious mkuu nataka nijilipue.
Vipi huyo bibi akifariki je
 
Wakuu !
Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter

Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje

Nadhani aina hii ya utajiri mmeshawahi kuusikia

Mwenye habari zaidi kuhusu ukweli wa utajiri wa huyu jamaa anaweza kutufahamisha
Rostam kijanaaq........mpiga deal na mtakatishaji pesa haramu ....hasa uyzaji silaha......haramu kabisa yule
 
Kungekuwa na utajiri wa kishirikina robo tatu ya Watanzania wangekuwa matajiri.
Shetani hashirikiani na kila MTU kwenye utajiri. Kuna watu gifted na Mungu ndo shetani anawataka ili kuonesha ubabe wake.
Watu wa namna hii shetani akishindwa Mungu anawapa utajiri.
Mfano Mwamposa anamsujudia Mungu na Chief Godlove anamsujudia shetani na wote matajiri.
 
Wewe jamaa hao watu wanaItumikia bwana mmoja hata kama unajaribu kuwatofautisha
 
Tunashinda kwa waganga daily mbona hatutajiriki….waache wivu wa kimaskini mtu anapofanikiwa aisee
 
Back
Top Bottom