Gumzo vijiweni: Utajiri wa Chivayo ulikuwa wa kishirikina

Wewe jamaa hao watu wanaItumikia bwana mmoja hata kama unajaribu kuwatofautisha
Sawa lakini kila mmoja anataka jina la Bwana wake.
Chief Godlove anataja shetani na Mwamposa anataja Yesu.
Sasa kama shetani anakubali kuitwa Yesu na Mwamposa mbele za watu Mimi sijui.
 
Ni kweli Wana Roho ngumu lakini sio kuchezea kifo, utajiri wa Punje ni kifo, sasa hakuna anayetia kupata Hela harafu asipate maisha ya kuzitumia
Mkuu, kuna watu wana roho ngumu asikuambie mtu, jinsi ulivyo usije ukaji reflect ukahisi wengine nao wapo hivyo..

Kuna vijana kazi yao ni kuua ili tu wapate pesa, kuna watu haya maisha kwao si kitu cha thamani , kujitoa sadaka ni kugusa hasa linapokuja suala la pesa...
 
Tunashinda kwa waganga daily mbona hatutajiriki….waache wivu wa kimaskini mtu anapofanikiwa aisee
Tatizo unashinda kwa waganga kuroga mchepuko wa mumeo. Utajiri utapewa na Nani sasa? Wewe nenda kamuuze Baba yako na Mama yako au watoto wako wale wawili uone kama shetani hatawanunua kwa mabilioni ya shilingi.
 
Kuna vijana kazi yao ni kuua ili tu wapate pesa, kuna watu haya maisha kwao si kitu cha thamani , kujitoa sadaka ni kugusa hasa linapokuja suala la pesa...
Ni kweli Wana Roho ngumu ya kuua ili wapate Pesa ila hawana Roho ya kuuawa wapate Pesa, hii ndio tofauti
 
Ni kweli Wana Roho ngumu ya kuua ili wapate Pesa ila hawana Roho ya kuuawa wapate Pesa, hii ndio tofauti
Watangaze hata kesho figo zinanunuliwa mil 100, na kwenda kutoa una saini informed consent kwamba amekubali upasuaji ufanyike kwa hiari yake na akubali hatari yeyote itakayotokea ikiwemo kifo...

Nakuambia kwamba watajitokeza vijana wapo tayari kwa lolote na chochote...
 
Mpwa

Haya ndio mawazo yetu na umasikini wetu…. When we fail to understand, we drift towards witchcraft na miujiza ya upako
 
Mpwa

Haya ndio mawazo yetu na umasikini wetu…. When we fail to understand, we drift towards witchcraft na miujiza ya upako
Uncle kuna uzi nilianzisha jana humu , ngoja niku mention huenda ukawa na la kuongeza, ndio maana nikasema Gumzo vijiweni

 
ushamba mtu ana makampuni anahangaika kitambo tuuu. ujana ulimpeleka jela......akajua namna ya kusaidia taifa lake dhidi ya vikwazo mnamwita mshirikina
 
Duuuuuh aisee..Turidhike na tulivyonavyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…