MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake.
Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeeeeeh mweny kujuaaa mikoaaa wanayolimaa iyo kitu atwambieee tupate dataView attachment 3183523
Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake.
Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
Aisee....View attachment 3183523
Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake.
Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
Kwanini mkuu?Jichanganye ulime.
Unakumbuka enzi za zao la Vanilla. Walisema kilo moja 800,000 imagine.Kwanini mkuu?
Lima kitu ambacho umezoea kuuona mmea wake kwa karibu hata kama uzoefu huna na usilime kwa kuwa tu gunia linauzwa million mojaKwanini mkuu?
Yeah, yaan usikie tu. Nilijichanganya nikaenda Kulima matikiti Mkuranga. AiseeLima kitu ambacho umezoea kuuona mmea wake kwa karibu hata kama uzoefu huna na usilime kwa kuwa tu gunia linauzwa million moja
Ukiona watu wanahamasisha watu kwa kutaja mavuno shituka!!Unakumbuka enzi za zao la Vanilla. Walisema kilo moja 800,000 imagine.
Jambo muhim sana but i think it is too lateAiseeeeeeh mweny kujuaaa mikoaaa wanayolimaa iyo kitu atwambieee tupate data
Acha tuYeah, yaan usikie tu. Nilijichanganya nikaenda Kulima matikiti Mkuranga. Aisee
Iringa, Mbeya, Manyara, Kilimanjaro, Morogoro (Mgeta), nadhani hata Tanga pia....kiujumla kwenye maeneo ya Hali ya ubaridiAiseeeeeeh mweny kujuaaa mikoaaa wanayolimaa iyo kitu atwambieee tupate data
Nakumbuka mkuu. kwa swaumu ni muda sasa huku kahama tunanunua kitunguu swaumu kimoja kwa 500 kibwa1000 kimoja. sijawahi lima zao hili lakin kama halina changamoto sana sio mbaya hata ukiuza kwa 400k. Sina utaalamu nalo wowoteUnakumbuka enzi za zao la Vanilla. Walisema kilo moja 800,000 imagine.
Manyara hasa katesh na mbuli kuna baadhi ya maeneo wanalima nilionaIringa, Mbeya, Manyara, Kilimanjaro, Morogoro (Mgeta), nadhani hata Tanga pia....kiujumla kwenye maeneo ya Hali ya ubaridi
Umaarufu wa Mbowe na CDM umeogezeka kwa 200%.View attachment 3183523
Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake.
Wakuu tulimeni hata nusu ekari.