Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

View attachment 3183523
Mbowe angefahamu hili suala mapema labda angelima vitunguu swaumu na kujiepusha na hela za Abdul na mama yake.

Wakuu tulimeni hata nusu ekari.
Hamuwezi kumfanyia Kampeni huyo bimdogo wa Amsterdam bila kumtaja Mbowe?

Mbowe amekuwa na pesa kabla ya Tanganyika na ndege wanaofanana hurula pamoja.

So hata wewe ukiambatana na ropo ropo wenzako ni sawa tuone kama mtakula maneno matupu.
 
Kuna project moja tuliwahi kuifabya ya kilimo cha Mbegu za maua, sasa kuna baadhi ya Maua wale Wasunhu walikuaa wananunua kilo 1 sh 500,000/ kuna baadjhi ya maua walikuwa wananunua sh 100,000/ 50,00/ hadi 3000/

Sasa wakulimwa wengi walikuwa wanakimbilia kutaka kulima yale amua ambayo bei yake kilo ni sh 500,000/ Bila kujua mziki wa kililo chake sio wa kitoto na unaweza lima ukaambulia kupata nusu kilo tu ya mbegu.

Sasa kitunguu swaumu kuuzwa ghari sio kwamba kuna mteremko kwenye kulima. La sivyo kule wanako lima wangekuwa mabilioanre basi kwa sasa ila ukifika kule wanako lima wakulima ni wa kawaida sana.
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom