Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

Yeah, yaan usikie tu. Nilijichanganya nikaenda Kulima matikiti Mkuranga. Aisee
Vijana kama ninyi ni mzigo kwa taifa hakika shule za kata zilaaniwe sana....watu wanalima tikiti na wanapiga mishindo mikubwa tu ila wewe kipoda ulienda na matokeo yako kichwani
 
Kama kuna mtu ana uhakika wa hiyo bei na ana connection na wauzaji hapo Dar niambieni nilete mzigo huo. Gunia 50 au 100 nina uhakika wa kuzileta hapo sokoni siku ya Ijumaa.
 
Hapo utakuta kila mtu anamuambia mwenzake alime. Mwisho wa siku wote mkija kuvuna, bidhaa inakua kwa wingi mnaanza kugombania wateja.

Ndipo utajikuta umeweka mtaji wa milioni tatu, umepata gunia kumi, halafu sokoni kila gunia linauzwa laki mbili badala ya milioni moja uliyotarajia 😂😂😂
 
Nakumbuka mkuu. kwa swaumu ni muda sasa huku kahama tunanunua kitunguu swaumu kimoja kwa 500 kibwa1000 kimoja. sijawahi lima zao hili lakin kama halina changamoto sana sio mbaya hata ukiuza kwa 400k. Sina utaalamu nalo wowote
Ni Kweli kulima Kitunguu hata ukiuza Laki na Nusu Bado Hela ipo.
 
Back
Top Bottom