Gunia la kitunguu Swaumu sasa hivi ni milioni 1

Unakumbuka enzi za zao la Vanilla. Walisema kilo moja 800,000 imagine.
Nakumbuka mkuu. kwa swaumu ni muda sasa huku kahama tunanunua kitunguu swaumu kimoja kwa 500 kibwa1000 kimoja. sijawahi lima zao hili lakin kama halina changamoto sana sio mbaya hata ukiuza kwa 400k. Sina utaalamu nalo wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…