Gusa Achia Twende Kwako imeanza kufanya kazi, kazi ipo

Gusa Achia Twende Kwako imeanza kufanya kazi, kazi ipo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mashine ya Mjerumani imeanza kazi huko DRC ambapo ile falsafa ya Gusa Achia Twende Kwao imeanza kufanya kazi ambapo mkongo kakimbizwa isivyo kawaida kipindi cha pili hadi akaamua kuachia, ilikuwa Gusa Achia Twende Kwao mwanzo mwisho na kama refa angaliongeza dakika 10, Gusa Achia Twende Kwao ingemtoa roho mkongo kwao.

Gusa Achia Twende Kwao
 
Back
Top Bottom