Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

Gustavo Petro, Rais wa Colombia ashangaa kuona mataifa makubwa ya kidemokrasia yakishindwa kuizuia Israel kuua watu Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia.

Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata jawabu kwa kusema,hayo yanayotokea ni kutokana na kuwa wamiliki wengi wa mabenki na taasisi za kifedha ndio hao hao wanaounga mkono maangamizi ya watu duniani.

Katika kauli yake kwenye akaunti yake ya X zamani twitter akasema hali hiyo ikiendelea si kuwa inatishia uwepo wa wapalestina peke yao,bali kuendelea kwa demokraisia na hisia za kibinadamu kwa jumla.

--
Gustavo Petro said in a post on social media that “so-called powerful” democratic countries were unable to oppose Israel’s war on Gaza because “many owners of banks and capital funds belong to people who support the massacre”.

Petro said the inaction of such states “endangers not only the existence of the Palestinian people but the very existence of democracy and humanity”.

“Power in geopolitics today is nothing more than accumulated money and warplanes,” he said, “hopefully tomorrow, it will be accumulated life”.

Colombia’s leader has been an outspoken critic of Israel and its war on Gaza, ordering last week that a Colombian embassy be opened in Ramallah in the occupied West Bank following the announcement that Bogota would sever diplomatic ties with Israel.

Colombian president says ‘powerful democracies’ compromised, unable to oppose Israel

 
HAKUNA DEMOKRASIA DUNIANI NI MTU MJINGA TU ATAAMINI HUU UPUUZI.

Huwezi kumtenga mtu na unafiki na penye unafiki demokrasia haikai.
 
Kipindi Hamas inavamia Israel na kuua, kubaka na kuteka raia, watu walishangilia. Haya ndiyo malipo yake.
Usianzishe vita ya mawe ikiwa nyumba yako ni ya vyioo
Uamuzi waliochukua Hamas pia ulichelewa sana kutokana na njama za muda mrefu za Israel.Japo kuchelewa kwao ilikuwa ni kutoakana na matayarisho ya muda mrefu kuelekea oktoba 7.
 
HAKUNA DEMOKRASIA DUNIANI NI MTU MJINGA TU ATAAMINI HUU UPUUZI.

Huwezi kumtenga mtu na unafiki na penye unafiki demokrasia haikai.
Ni sawa vilevile tu na kwamba hakuna nchi zinazo tawaliwa kidini ila ni usanii tu na upigaji wa pesa za wananchi wajinga.
 
Uamuzi waliochukua Hamas pia ulichelewa sana kutokana na njama za muda mrefu za Israel.Japo kuchelewa kwao ilikuwa ni kutoakana na matayarisho ya muda mrefu kuelekea oktoba 7.
Hao Hamas wamepata nini mpk sasa?
 
Hivi palestinians(japo ukweli wale ni walowezi wa kiarabu) wangekubari two state solution toka mwanzo wangepitia hiki wanachokipitia?
Walikaza fuvu wakaamua kutumia maguvu haya kiko wapi?
Halafu wawakubalie walowezi wa kizungu? Hakuna myahudi pale
 
Back
Top Bottom