keneddelly
Member
- Feb 11, 2020
- 41
- 70
- Thread starter
-
- #21
Kwa sasa naruhusu wachache (verified) kupost bidhaa..in future kama kutakuwepo na matokeo chanya naweza kuongeza baadhi mambo ili kumlinda mteja.Kikubwa hapo ni suala la utapeli bongo utakuja kukuweka matatani alafu pia je unakula commissions au fee ya kutangaza payment intergresion zikoje usalama na urahisi wa malipo
Refund policies n.k
Anyway nakuja PM
😅😅😅😅 asante sana kaka nitalifanyia kazi hiloUbalikiwe sana lakin ibadilishe jina iite hata St joseph au Tanzania shopping
Asante sana
Una akili sana ndugu yangu
Ndyo ni Mimi mkuuNzuri, umetisha kama ni wewe umetengeneza
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Nalifanyia kazi hilo boss..nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri sana..🙏🙏🙏Hongera kwa kuanzisha.
Kwanza kabisa.
Jitahidi upunguze load time. Nimejaribu kufungua imechukua sekunde 15 mpaka 35.
Jitahidi iwe chini ya sekunde 7.
Ukifanikiwa wewe, Kuna ma-IT wawili watatu utawaajiri kupitia biashara yako, wakati huo huo Kuna akina siye ambao tunaweza kupata unafuu wa kununua bidhaa kupitia website yakoNashukuru kwa ushauri kaka 🙏🙏
Ahsante sana kaka🙏🙏Ukifanikiwa wewe, Kuna ma-IT wawili watatu utawaajiri kupitia biashara yako, wakati huo huo Kuna akina siye ambao tunaweza kupata unafuu wa kununua bidhaa kupitia website yako
Kila la heri Mkuu
Bado sijafungua app ni website tuu kaka..Ila namuomba mungu mwaka huu nifanikishe appApo app imeanza kufanya kazi mwaga gani mkuu?
🙏🙏🙏Ahsante sana kaka🙏🙏
Ubalikiwe sana lakin ibadilishe jina iite hata St joseph au Tanzania shopping
Asante sana
Una akili sana ndugu yangu
Hakuna jina zuri la biashara watu wengi jambo hili hawalifahamu ukishatumia jina Tanzania shoppingHongera Kwa ubunifu Mkuu
Ila pamoja na pongezi zangu, nashauri japo sio lazima
Ukiweza badirisha jina la website yako ili kuondoka mtanziko uliopo.
Ukikosa jina zuri, unaweza kutuomba hapa tukakushauri jina zuri ambalo litaendana na biashara yako
Kila la heri Mkuu 🙏🙏
Jambo jema kazi nzuriBado sijafungua app ni website tuu kaka..Ila namuomba mungu mwaka huu nifanikishe app
Kwahiyo unaona sawa kuwa na jina la biashara la kuitwa BishooHakuna jina zuri la biashara watu wengi jambo hili hawalifahamu ukishatumia jina Tanzania shopping
Tanzania soko Tanzania sell hili jina Tanzania❌ online shopping❌ limeshatumika mara nyingi haliwezi kukuletea matokeo
Ni lazima ujue unapataje jina la biashara ulikuwa wapi eneo ulikuwa na nani au wakati mpo pamoja na jamaa zako mlikuwa mkipiga story gani
Jina la biashara linaloleta matokeo mara nyingi inategemea na mahali wazo ulikolipata mfano muda huu naoandika hii post likanijia wazo la kufanya naweza nikatumia jina lako Mayala B watu wengi watakuja na majina mengi ila Mimi jina litabakia kuwa tofauti na kukumbukwa na wateja sababu limetokana na asili /USER] na jina likakubalika
Sina lakusema kuhusu hilo sijui kama ameandaa bussiness plan angekuja kusema soko lake anatarget wateja ganiKwahiyo unaona sawa kuwa na jina la biashara la kuitwa Bishoo
Hivi unadhani watu wazima wataweza kutembelea hiyo website?
Labda kama umelenga kuwahudumia Mabishoo tupu na sio watu wote
Nadhani hii Bishoo ni tafsiri yako Ila Mimi sijaweka tafsiri hiyo..nimelenga kuleta kitu kitakachokumbukwa kiwepesi.Kwahiyo unaona sawa kuwa na jina la biashara la kuitwa Bishoo
Hivi unadhani watu wazima wataweza kutembelea hiyo website?
Labda kama umelenga kuwahudumia Mabishoo tupu na sio watu wote
Hilo ndio Wazo ambalo nimekuwa nikipenda kulisikia..kwakweli kuna muda naona naitaji team yenye maonoJambo jema kazi nzuri
ila kabla haujafikiria kusogea hatua kwenda mbele ni lazima uhakikishe una Business plan
Kuanzisha biashara yoyote ni kazi rahisi ila kuandaa mpango wa biashara hiyo ni kipengere lazima upate njia za uhakika kabisa za kufanisha kazi yako kwenda mjini pia na watu ambao ukiwatumia utapata matokeo
Omba sana Mungu atakusaidia
Hongera kwa kazi nzuri ulioifanyaGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Umewahi kufanya tathmini kujua Rika la wateja unaowahudumia?Nadhani hii Bishoo ni tafsiri yako Ila Mimi sijaweka tafsiri hiyo..nimelenga kuleta kitu kitakachokumbukwa kiwepesi.
Kuhusu watu kuamini na kutembelea itategemea na namna ninavyowahudumia.
Nimekuwa nikitulia jina Bishoo store kwenye biashara zangu na wateja wamekuwa wananunua bidhaa bila kujali maana ya Hilo neno.