Biashara ni ubunifu, huenda jina la biashara la Bishoo huenda ni sehemu ya Ubunifu wake.Sina lakusema kuhusu hilo sijui kama ameandaa bussiness plan angekuja kusema soko lake anatarget wateja gani
Biashara hii inalipa sana ila ndio hivyo watu wengi wameshindwa hii biashara sababu kukosa bussiness planBiashara ni ubunifu, huenda jina la biashara la Bishoo huenda ni sehemu ya Ubunifu wake.
Mwanzo mzuri, hongera sana. Ushauri wangu katika kuboresha zaidi:Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Huenda hiyo ni sehemu moja wapo ya tatizo, japo nafahamu ishu ya uaminifu pia huchangia.Biashara hii inalipa sana ila ndio hivyo watu wengi wameshindwa hii biashara sababu kukosa bussiness plan
Chukua maua yako mkuu.Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Chukua maua yako mkuu.
Naiona Alibaba ya Afrika inazaliwa Dar es salaanashukuru
Ni kweli kakaHuenda hiyo ni sehemu moja wapo ya tatizo, japo nafahamu ishu ya uaminifu pia huchangia.
Mteja anapenda bidhaa fulani, lakini kwenye delivery unaletewa kitu kingine kabisa
Ahsante sana kaka,umenipa mwanga wapi pa kuanziaaMwanzo mzuri, hongera sana. Ushauri wangu katika kuboresha zaidi:
1. Nakushauri kuwa uende mbali zaidi, iongezee "value" idea yako... How? Kwa mfano, ishu kubwa sana ya online business kwa Tanzania kwa sasa ni TRUST; Watu wengi sana wanapigwa (pande zote, wauzaji na wanunuaji), can your site solve this issue? If the answer is YES, you are a billionaire in the making. Fikiria kuhusu hilo, how will you solve the trust issue ya online business kwa bongo kwa kupitia site yako? That should be your VALUE. Na hiyo ndo inakua SELLING POINT ya site yako, hata kwenye matangazo, unakua unaongelea kuwa YOU BRING TRUST TO THE ONLINE BUSINESS.
2. Mpangilio wa rangi: Nashauri uangalie kwa makini mpangilio wa rangi kuu za site yako-Kwa sasa naona mpangilio huu bado unahitaji maboresho zaidi. Jaribu kujisomea zaidi na kutafiti zaidi juu ya combination za rangi kwa ajili ya kuongeza mvuto na kuipa utulivu website yako.
3. Jina-Jaribu kutafuta jina ambalo litakua ni rahisi, linalokumbukika kirahisi, na pia ambalo linaleta mtazamo chanya wa site yako. Hii inahitaji muda hata hivyo, kwa hiyo tulia, uendelee kuangalia namna ya kuboresha zaidi. Fikiria kwa mfano jamaa waliotengeneza sabuni ya OMO; Hivi walifikiria nini kuiita sabuni yao OMO?
Otherwise, hongera kwa udhubutu, kazi nzuri sana!
keneddelly
Ahsante sana kaka…Umenipa idea nyingine nzuriJamii online Shopping (JOP)
O-Shop Store
Kitonga Online market (KOM
Tanzania Online Market (TOM
Online Duka (OD MARKET
Duka Mtandaoni
Duka Kiganjani
Ongezea tumpe jamaa wazi la jina zuri la biashara yake.
BISHOO ONLINE MARKET (BOM
Halafu uwe na maduka specific kwa mfano uwe na mkataba na Duka moja la mavazi, electronics, hardware, utensils nk ili iwe rahisi kukontrol biashara yako na kupunguza utapeli watz tunawajua
Tenganisha product na kuz groupGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Ukiweza kwenye hilo eneo, mbona biashara ya online inalipa sana tuNi kweli kaka
Website imeanza kazi mwaka gan..?Bado sijafungua app ni website tuu kaka..Ila namuomba mungu mwaka huu nifanikishe app
Mwaka huu mwezi 8Website imeanza kazi mwaka gan..?
Asante sana bossTenganisha product na kuz group
Kama n electronics furniture, clothing...
SIo kuzichanganya zote.
Weka sehem ya product description na review za walionunua
Hongera kwa kazi nzuri ulioifanyaGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Mkuu wewe achana na wanaosema copy n paste, wengine hata copy naku paste hawawezi na ndio hao hao wanazungumzia hili jambo. Wewe muuliza kwenye original idea yako ambayo umeiona ni fursa isiyokuwa copie naku paste umeichangamkia kama fursaAaah 😱