The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Good work , hongera kwa uthubutu naimani utapata ujuzi zaidi wa kufanya mabadiliko kidogo upande wa UIGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Hizo negativity zinapaswa zitoke Kwa walengwa(targeted customers), ndio maana nimeandika atumie muda mwingi kuzungumza na wateja wake na sio hapa jamiiforumsLazima negativity ziwe nyingi tukiwa na ukosoaji mwingi pia tutapata solution nyingi ila huwa napingana na watu wanaoamini jambo Fulani haliwezekani kabisa mtu anakuja hapa na kusema mbuni vitu vingine
Mkuu naomba ujibu ili swali. Kwa nini uliamua kuiita Bishoo??Tumefanya mabadiliko makubwa na sasa naona impressions nyingi Asante sana wadau wa jamii forum kwa pamoja tunaweza kukuza mtandao wetu.
Kiukweli nipo na tight budget ya marketing,kama kuna mtu anaweza kunisaiida ata kusambaza kwa magroup anaweza kuwa ametoa msaada mkubwa sana.
Mimi naamini sadaka sio lazima kanisani ata kusaidia watu kama sisi ni sadaka kwa maana na sisi tunashika wengine mikono .
Unaweza kutembelea >>www.Bishoo.co.tz
Qwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic BabyMkuu naomba ujibu ili swali. Kwa nini uliamua kuiita Bishoo??
Maana kwa first impressionkwa ilo jina ' bishoo' mtu anawez kuona mbona kama n website y vijsna au rika flani.
Mi kwangu naona bora ubadili jina uiite BUYSELL Ita make sense kwa first impression kua ni website ya kuuza na 1kununua
Swala la marketing
Tembelea wanachuo na wafanyabiashara ili uwape awareness kuhusuiana hii web. Ndo upate trafic nying y watu wanao tumia hio web ili uweze ku apply Google adsence
Pia tengeneza sponsored ads za social media zikusaidie kutangaza
Ila jina badilisha. Sizani ata siku ukiwapelekea ksmpuni fulan au mtu akuzamini au patnship ataanza na ishu ya jina.
Yangu n hayo
Safi sana kijana, hongera sana kwa kazi nzuri, umefanya jambo kubwa na zuri sana, endelea hivyo hivyo šÆ keneddellyGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Tangu ameleta uzi humu JF kuhusu idea yake tumekua tunashauriana nae anafanya maboresho kwenye website. Hio ya kuweka vitu kwenye category kama ni cosmetic au funiture nilitoa ilo wazo mm fuatilia post za nyuma.Qwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic Baby
Ahsante sana kaka..Safi sana kijana, hongera sana kwa kazi nzuri, umefanya jambo kubwa na zuri sana, endelea hivyo hivyo šÆ keneddelly
o o ndio Wazo zuri kakaQwe ukisikia alibaba unapata impression gan? au ukisiakia kikuu unapata impression gan kitu cha msingi apambanie kuikuza hio boshoo iwe brand kubwa fikilia Diamond angesikiliza ushauri wa netzens wakat anaita brand yake Wasafi Classic Baby
Ni kweli kiongoziGood work , hongera kwa uthubutu naimani utapata ujuzi zaidi wa kufanya mabadiliko kidogo upande wa UI
Tunapata meseji kwamba we are beeing trackedGuys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.
Safi kijana, endelea kujitahidi utafanikiwa, lipia website yako kifurushi cha juu wakupe SSL Certificate Security keneddellyHilo jina mpaka muda huu limesajiliwa na niliamua kuliita hivyo kwa sababu zangu binafsiā¦impression ya mtu kwa siku ya kwanza itamuathiri Ila kama huduma zetu zinatakuwa za kuaminika ataendelea kutuamini..labda nikwambie kitu mpaka sasa Mimi na maduka mawili yote nimeyaaita bishoo..moja ni @bishoo_store Unaweza kuliona IG na lingine ni @bishoo_fashion.
Kuhusu kufanya biashara kwangu nafanya na wengi Ila kuhusu classified ads site ndio nilitaka msaada..
Nimejaribu kuutembelea naambiwa si salama nikaamua kusepa.Guys! Naomba ushauri wenu ,nimefungua mtandao wa kuwaweka pamoja wauzaji na wanunuzi wa Tanzania.
Naomba kama mtapata nafasi muupitie mnipe ushauri wapi niongeze au nipunguze.
Najua humu kuna watu professional wa kunisaidia kuweza kufikia lengo.
Address yake ukibonyeza hapa unafika Bishoo
Ni hivyo tuu ,mbarikiwe sana.