Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

Wanawake ni malaria ya kwenye figo, hawaponi mpaka ufe! Mi nilishaacha habari za kuwafatilia na kujitahidi kuwajua, nimemuachia mungu!
 
bado tunawa-discuss hawa hawa mama zetu au?

Inaonekana ni kwa jinsi gani wasivyoeleweka!!
 
ni kweli most of us tunaridhika na vitu vidogo X2 lkn vinavyotofautiana ila majority ni softwords tuu zinatulainisha kabisaaa.
 
Umenikuna na ni kweli kabisa, ila ladies nao wafaham kwamba hata guys wanahitaji hizo nyama za ulimi!, nyama hii ni kupeana na si mtu mmoja ndo awe anatoa tu! 😛ound:

Asante sana Lutter; katika wote waliochangia hii sredi ya FL1 wewe umekwenda sahihi na mtazamo wangu IT IS A TWO WAY TRAFFIC!
Hata kwenye msamaha; Msamaha ukitolewa unategemea mwenzio auishi ule msamaha na si vinginevyo! Na mara nyingine naaamini wanaume tuna over - react hii inatokana na ukweli kuwa wakati mwingine unakuta kuna kujirudia kwa vitu ambavyo vinapelekea wewe kukwazika hapo ndio matumizi ya nyama laini hukoma!
 
ni kweli most of us tunaridhika na vitu vidogo X2 lkn vinavyotofautiana ila majority ni softwords tuu zinatulainisha kabisaaa.

Lady N si wanawake wengi wa kizazi hiki! Eti softwords tu! Acheni kuishi kwenye fairy tales!
 
ni kweli most of us tunaridhika na vitu vidogo X2 lkn vinavyotofautiana ila majority ni softwords tuu zinatulainisha kabisaaa.
Aisee.......hebu Ni-PM basi ( vitu vingine si vizuri kuweka public)
 
FL1 huna sababu ya kunyanyua jembe kwenda kulima
Elimu unayotoa hapa asilimia mia imesimama
Wanaume ubabe kutembeza kila siku kulalama
Nyama ya ulimi tamu lakini akili kumkichwa
Ndoa hailindwi na shoka FL1 anatuasa

Nyama ya ulimi pasipo mfuko kutuna Kingi anabisha
Maisha yamebadilika nyama ya ulimi miaka ya arobaini
Leo kiama kimewasili ndoa kama kampuni inaendeshwa
Jaribu yako bahati nasibu yako kuendesha
Tamati nafikia Mungu atangulizwe nyama ya ulimi inyumbulishwe

Aisee kumbe kuna mashairi ya aina nyingi sana...Big Up Kamnda
 
haki ya nani tena hii sredi mi sikuiona kabisaaaaa!
 
kwa hiyo mnahitaji vitu vidogo tu kama:
ice cream
sunvita
bigijii
chokoleti
pipi
popcorn

vitu vidogo vidogo tu AU SIO?
 
Wanawake ni malaria ya kwenye figo, hawaponi mpaka ufe! Mi nilishaacha habari za kuwafatilia na kujitahidi kuwajua, nimemuachia mungu!
Dah mwanawane....kwa hiyo hizi ndugu ni kama renal malaria... rarest case in medicine.Halafu dawa za Malaria ni filterable kwenye Bowman's capsule,ina suggest ukweli kwamba wafa nayo ikikupata that kinda malaria.
 
Lady N si wanawake wengi wa kizazi hiki! Eti softwords tu! Acheni kuishi kwenye fairy tales!
Mj, tatizo hapa liko na hawa therengetiz, ila kwa wae ambao akili isha komaa na wengi wao wako kwenye na washaanzisha family, inalipa
 
kwa hiyo mnahitaji vitu vidogo tu kama:
ice cream
sunvita
bigijii
chokoleti
pipi
popcorn

vitu vidogo vidogo tu AU SIO?

Aa wapi....wanahitaji vitu vikubwa sana....ila unavitoa kidogokidogo.
 
Back
Top Bottom