Gwaji boy katumwa kutuhamisha kwenye kesi ya Tundu Lissu na Chadema. Shitukeni

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.

Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya mezani.

Gwajima ni ccm na alikuwa wapi kuwatetea wanao tekwa ,leo anataka kuwa dereva.

L
 
Hakuna wewe ndo umetumwa kutuhamisha kwenye huu mjadala. Gwajima tunae na lissu tunae
 
Wana mujibu hawa jamaa
Msipokuwa makini Wanawapeleka chaka. Waachwe wapambane na hali yao
 
Hoja ya Gwajima ndiyo Lissu alikuwa akiiongelea kwenye majukwaa sasa maadam Lissu yuko jela basi tunamsapoti Gwajima hakuna kilichotolewa nje ya reli hapo.
 
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.

Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya mezani.

Gwajima ni ccm na alikuwa wapi kuwatetea wanao tekwa ,leo anataka kuwa dereva.

L
Watu wengine akili zenu zinawatosha kununulia familia zenu chakula tu.... mengine waachie wajuzi.
 
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.

Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya mezani.

Gwajima ni ccm na alikuwa wapi kuwatetea wanao tekwa ,leo anataka kuwa dereva.

L
Acha ujinga. Kesi ya lissu inafuatiliwa na dunia nzima
 
Kwaiyo kwa akiliyako timamu unaona aliyo ongea Gwajima ni maigizo!!
Maigizo hayakuwahi kutokuwa sehemu ya maisha ya Gwajima,fikiria anadanganya waumini wake kuwa anafufu wafu ila mama yake alishindwa kumfufua 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
nyie chawa wa ccm msipo weza kutumia pesa zile bilion kuweza kushinda ajenda zenu nasikia mumeandaliwa wacheza porno wa kiume toka nchi za kikomunist zije kuwatapisha hizo.
 
Back
Top Bottom