Aende wapi!?Tundu kesho anaachiwa aende zake
Kwa NOLE?Tundu kesho anaachiwa aende zake
Na tunatamba nao woteHakuna wewe ndo umetumwa kutuhamisha kwenye huu mjadala. Gwajima tunae na lissu tunae
Watu wengine akili zenu zinawatosha kununulia familia zenu chakula tu.... mengine waachie wajuzi.Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya mezani.
Gwajima ni ccm na alikuwa wapi kuwatetea wanao tekwa ,leo anataka kuwa dereva.
L
SanaaaNa tunatamba nao wote
π€£π€£π€£..ila wabongo akili ndogo sana Mungu nijalie na mie nije nitawale hii nchiUsiwe na akili za Kiccm.
Angetumwa, Samia hasingemjibu mkutanoni
Acha ujinga. Kesi ya lissu inafuatiliwa na dunia nzimaHii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya mezani.
Gwajima ni ccm na alikuwa wapi kuwatetea wanao tekwa ,leo anataka kuwa dereva.
L
Maigizo hayakuwahi kutokuwa sehemu ya maisha ya Gwajima,fikiria anadanganya waumini wake kuwa anafufu wafu ila mama yake alishindwa kumfufua πββοΈπββοΈKwaiyo kwa akiliyako timamu unaona aliyo ongea Gwajima ni maigizo!!