Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi.

Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi.

Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala.

Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi watakaonyooshewa vidole ni viongozi wa chama tawala.
 
Inawezekana humjui gwajima, 500m ni pesa ndogo sana kwake, ana jeuri ya pesa na anazo
 
Kuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi.

Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi.

Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala.

Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi watakaonyooshewa vidole ni viongozi wa chama tawala.
Waitishiwe mdahalo na chawa wa chura
 
Kwamba hizo fedha hana uwezo wa kuwa nazo?Ni wastani wa Ths 10,600,000/= kwa wiki.Piga hesabu njema kama yeye ni wa kufungwa mdomo kihivyo!
 
Kwamba hoja zake zimeeleweka na hazijibiki?
Hivi samia kweli ana PhD? Mbona kichwani kama form four flan hivi?
Hana PhD, no yale mavyeti ya kupewa bure (Honorary degree) na hakuna mtu mwenye akili anajiita Doctor kwa hayo mavyeti, alipewa pamoja na msukuma na babu Tale
 
Back
Top Bottom