Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Inawezekana humjui gwajima, 500m ni pesa ndogo sana kwake, ana jeuri ya pesa na anazoKuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi.
Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi.
Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala.
Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi watakaonyooshewa vidole ni viongozi wa chama tawala.
Waitishiwe mdahalo na chawa wa churaKuendelea kushindana na Gwajima ndo kunafanya chama tawala kiendelee kuchafuka zaidi.
Hapo hamna hamna wamuandalie fungu zito angalau milioni 500 kumtuliza mambo yasiwe mengi.
Njia ya kutumia nguvu kumtuliza inazidi kukibomoa chama tawala.
Pia kama atapatwa na jambo baya lolote basi watakaonyooshewa vidole ni viongozi wa chama tawala.
Elimu ya Zanzibar lakini si unaifahamu?Kwamba hoja zake zimeeleweka na hazijibiki?
Hivi samia kweli ana PhD? Mbona kichwani kama form four flan hivi?
Kwenye fom foo ongeza feliaKwamba hoja zake zimeeleweka na hazijibiki?
Hivi samia kweli ana PhD? Mbona kichwani kama form four flan hivi?
Kaka ila 500 parefu uje🤔MLETA MADA HANA AKILI TIMAMU !
Bro 500 za kupewa tu 🤔Kwamba hizo fedha hana uwezo wa kuwa nazo?Ni wastani wa Ths 10,600,000/= kwa wiki.Piga hesabu njema kama yeye ni wa kufungwa mdomo kihivyo!
Kwa head ya Gwajima,unaona watamuweza?Itakuwa ni kibweka.Bro 500 za kupewa tu 🤔
Dah isijekua drama tu 🤔Kwa head ya Gwajima,unaona watamuweza?Itakuwa ni kibweka.
And,the clock is well ticking!.Utulivu wenye umakini unatakiwa.Dah isijekua drama tu 🤔
Hana PhD, no yale mavyeti ya kupewa bure (Honorary degree) na hakuna mtu mwenye akili anajiita Doctor kwa hayo mavyeti, alipewa pamoja na msukuma na babu TaleKwamba hoja zake zimeeleweka na hazijibiki?
Hivi samia kweli ana PhD? Mbona kichwani kama form four flan hivi?