Gwajima aandaliwe pesa angalau milioni 500 kumtuliza kama anayoyasema ni kweli

Hela Mbuzi wanayopewa Vibuyu kuchukua uhai Wa watu wa profile ndogo.
 
Kwamba hoja zake zimeeleweka na hazijibiki?
Hivi samia kweli ana PhD? Mbona kichwani kama form four flan hivi?
Yule ni form four failure, akaenda kusomea ukarani,
PhD ni ua kupewa tu kama alivyopewa Dr Msukuma.
Kiufupi hamna kitu kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…