Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.

Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.

Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?

Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.
 
Mchungaji Gwajima alimwambia mh Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.

Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya mh lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.

Je ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?

Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.View attachment 2534571
Wasaka tonge tuu hawa hamna lolote ninaishi kwenye jamii ya kichaga nawajua vizuri sana
 
Wasiofahamu kitu wanafikiri gwajima ni mchungaji Tu. Huyu jamaa anajua Siri nyingi za nchi hii.
Kipindi kile anaitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya CCM alikataa kutumia vipaza sauti na alitumia kiti chake kutoka nyumbani kwake
Hakutumia kiti kutoka nyumbani kwake, alitumia cha palepale ukumbini lakini sio kile alichokua ameandaliwa
 
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.

Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.

Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?

Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.
View attachment 2534571
Itakuwa ni Utabiri tu wa kiroho
 
Urabiri wa mchongo
 
Kuna mahali aliinasa, hakuna Cha unabii! Ni leakage ya classified information.
 
Back
Top Bottom