Wasaka tonge tuu hawa hamna lolote ninaishi kwenye jamii ya kichaga nawajua vizuri sanaMchungaji Gwajima alimwambia mh Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya mh lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.
Je ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?
Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.View attachment 2534571
Hakutumia kiti kutoka nyumbani kwake, alitumia cha palepale ukumbini lakini sio kile alichokua ameandaliwaWasiofahamu kitu wanafikiri gwajima ni mchungaji Tu. Huyu jamaa anajua Siri nyingi za nchi hii.
Kipindi kile anaitwa kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya CCM alikataa kutumia vipaza sauti na alitumia kiti chake kutoka nyumbani kwake
Kama alikuwa genge moja kwann atake kumnusuru Lisu asishambuliwe.Angekuwa nabii angejua yaliyomkuta mwendazake.
Sema tu ni genge moja.
Agiza nakuja kulipa.Angekuwa nabii angejua yaliyomkuta mwendazake.
Sema tu ni genge moja.
Kwa Gwajima sio mambo ya kuambiwa najua hilo, kwa Mengi sijuiUnaambiwa katika watu waliowekeza kwenye inteligensia kwa kiwango cha juu ni Gwajima na Marehemu mzee mengi. Information is for sell brother
Kwamba Gwajima yeye anaoteshwa na Mungu?Kwa Gwajima sio mambo ya kuambiwa najua hilo, kwa Mengi sijui
Yaani Gwajima yupo vizuri kwenye 'human intelligence'...Kwa Gwajima sio mambo ya kuambiwa najua hilo, kwa Mengi sijui
Kuna tofauti ya unabii na kupata taarifa za kawaida.Angekuwa nabii angejua yaliyomkuta mwendazake.
Sema tu ni genge moja.
Wachaga na hii mada kuna uhusiano??Wasaka tonge tuu hawa hamna lolote ninaishi kwenye jamii ya kichaga nawajua vizuri sana
Itakuwa ni Utabiri tu wa kirohoMchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.
Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?
Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.
View attachment 2534571
Urabiri wa mchongoMchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi.
Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa?
Kuna haja ya kuendelea kumuamini Gwajima maana aliyotabiri yalitokea.
View attachment 2534571
Kuna mahali aliinasa, hakuna Cha unabii! Ni leakage ya classified information.Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.