sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita. Binafsi naamini Usukuma ndio uliwaunganisha na kidogoogo dini. Kawe ni miongoni mwa ushahidi wa wazi wa ushafuzi wa uschaguzi 2020,
2. Gwajima hakua na ushawishi nje ya waumini wake na alionekana kama mdini na mwenye chuki, kauli zake dhidi ya waislam na ugonvi wake na kashfa kwa Kadinal Pengo.
3. Mgogoro wake na uongozi wa Samia mwanzoni mwa utawala wake kuhusu chanjo ya COVID-19🦠😷.
4. Kushindwa kutimiza ahadi alizotoa Kawe ( ingawa si big deal mana wengi hakuna walichofanya).
Kwanini gwajima si wa kumuamini?
Gwajima hajwahi kukemea mabaya yoyote katika awamu ya tano, kama haitoshi, katika kukemea utekaji katika uongozi wa Samia alisema " ... CCM ilioongozwa na Raisi Magufuli sio ya utekaji.. ". Si tu hakemei bali anakataa.
So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai.
Kataa matapeli wa kisiasa