"So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.Vipi kuhusu suala la utekaji ma watu kupotea?
Twende na hoja zake tuachane na nia/dhamira yake."So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai."
Huenda umesoma heading tu.
Jipige kifuani mara tatu ukijiambia 'mimi sanalii ni mpuuzi"Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita. Binafsi naamini Usukuma ndio uliwaunganisha na kidogoogo dini. Kawe ni miongoni mwa ushahidi wa wazi wa ushafuzi wa uschaguzi 2020,
2. Gwajima hakua na ushawishi nje ya waumini wake na alionekana kama mdini na mwenye chuki, kauli zake dhidi ya waislam na ugonvi wake na kashfa kwa Kadinal Pengo.
3. Mgogoro wake na uongozi wa Samia mwanzoni mwa utawala wake kuhusu chanjo ya COVID-19🦠😷.
4. Kushindwa kutimiza ahadi alizotoa Kawe ( ingawa si big deal mana wengi hakuna walichofanya).
Kwanini gwajima si wa kumuamini?
Gwajima hajwahi kukemea mabaya yoyote katika awamu ya tano, kama haitoshi, katika kukemea utekaji katika uongozi wa Samia alisema " ... CCM ilioongozwa na Raisi Magufuli sio ya utekaji.. ". Si tu hakemei bali anakataa.
So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai.
Kataa matapeli wa kisiasa
😁😁😁😁Jipige kifuani mara tatu ukijiambia 'mimi sanalii ni mpuuzi"
Hakuna mtu au chama kilicho simama upande wa wananchi kikawa mfu hii ni kanuni kuu mojawapo ...chadema kilikufa kipindi cha jpm baada ya kushikamana na wahuni dhidi ya wazalendo wa ccm chini ya jpmSababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita. Binafsi naamini Usukuma ndio uliwaunganisha na kidogoogo dini. Kawe ni miongoni mwa ushahidi wa wazi wa ushafuzi wa uschaguzi 2020,
2. Gwajima hakua na ushawishi nje ya waumini wake na alionekana kama mdini na mwenye chuki, kauli zake dhidi ya waislam na ugonvi wake na kashfa kwa Kadinal Pengo.
3. Mgogoro wake na uongozi wa Samia mwanzoni mwa utawala wake kuhusu chanjo ya COVID-19🦠😷.
4. Kushindwa kutimiza ahadi alizotoa Kawe ( ingawa si big deal mana wengi hakuna walichofanya).
Kwanini gwajima si wa kumuamini?
Gwajima hajwahi kukemea mabaya yoyote katika awamu ya tano, kama haitoshi, katika kukemea utekaji katika uongozi wa Samia alisema " ... CCM ilioongozwa na Raisi Magufuli sio ya utekaji.. ". Si tu hakemei bali anakataa.
So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai.
Kataa matapeli wa kisiasa
Hata wewe nia na dhamira yako ni ya ubinafsi, haina msaada wowote kwa jamii. Tena ulifaa kufunguliwa kesi ya uhaini kwa kutaka kupindua uongozi wa nchi."So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai."
Huenda umesoma heading tu.
Jpm ni nusu kwa nusu, ana mabaya na mazuri, kutokufata sheria sio utaratibuHakuna mtu au chama kilicho simama upande wa wananchi kikawa mfu hii ni kanuni kuu mojawapo ...chadema kilikufa kipindi cha jpm baada ya kushikamana na wahuni dhidi ya wazalendo wa ccm chini ya jpm
Vijana tupo hapa tunasubiri atupeleke bamingam 👀Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita. Binafsi naamini Usukuma ndio uliwaunganisha na kidogoogo dini. Kawe ni miongoni mwa ushahidi wa wazi wa ushafuzi wa uschaguzi 2020,
2. Gwajima hakua na ushawishi nje ya waumini wake na alionekana kama mdini na mwenye chuki, kauli zake dhidi ya waislam na ugonvi wake na kashfa kwa Kadinal Pengo.
3. Mgogoro wake na uongozi wa Samia mwanzoni mwa utawala wake kuhusu chanjo ya COVID-19🦠😷.
4. Kushindwa kutimiza ahadi alizotoa Kawe ( ingawa si big deal mana wengi hakuna walichofanya).
Kwanini gwajima si wa kumuamini?
Gwajima hajwahi kukemea mabaya yoyote katika awamu ya tano, kama haitoshi, katika kukemea utekaji katika uongozi wa Samia alisema " ... CCM ilioongozwa na Raisi Magufuli sio ya utekaji.. ". Si tu hakemei bali anakataa.
So Gwajima hoja zake ni sahihi juu ya uongozi wa Samia, ila nia yake/ dhamira sio sahihi.
Mtu anaejifanya mwanaharakati pale tu maslahi yake yanapoguswa huyo hafai.
Kataa matapeli wa kisiasa
Tumia akili ..tatizo lako ni kukosa akili hayo mazuri ya jpm yanatokana na kukabili watu wabaya na hao ndiyo wanao sababisha rais mzuri yoyote kuonekana kama mbaya ...siku zote mafisadi awataki kuona mema kwa wananchiJpm ni nusu kwa nusu, ana mabaya na mazuri, kutokufata sheria sio utaratibu