Gwajima amcharukia Diamond

kama ni ya Zari mbona tunaijua? au ya baba yake Dai yote hayo twayajua, au ya Freemasn....mbona hayo pia tetesi twazijua? anyways kesho sio mbali
Wengine hatuzijui ngoja Gwajima atuambie.
 
Gwajima "Lisha kondoo wako" Wakati mwingine mambo kama hayo ambayo sio spiritual related unaita press conference nje ya nyumba za ibada
 
Kazi pekee ya viongozi wote wa dini Duniani ni kuamrisha mema na kutukataza mabaya tu na missions yao kubwa ni kutuonyesha njia ya kuelekea peponi au paradiso tu

Kazi ya Wanasiasa ni kuleta maendeleo na kusimamia haki na sheria tu ndo maana kiapo chao ni kulinda katiba na katiba ni haki na sheria je viapo vya viongozi wa dini vinahusika na kutetea katiba?
 
Hahahaha Gwajima ikiwa kwenye ubora wake hyaa Kama namuona vile mondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…