Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sio kujisikia hovyo, nia ni kuharibu brand.Huyo Gwajima wenu hajawahi kuishi uswahilini na hawajui watoto wa uswazi!Gwajima atampakazia nini Daimond mpaka ajisikie ovyo? Watoto wa uswazi wamefanya mengi ya ovyo bila mshipa wa haya utakachokuja kusema later in life hakina impact kwao as long my yao yamechange kiutamuutamu na moja ya good past time yao nikujikumbusha ujinga ujinga wao
Hadi naona aibu. Sisi wasukuma... aibu hii. Mara Frent forji, mara Bashite...huku nako baba mchungaji daaDah wasukuma wamekuja mjini
Hilo ni tapeliMama yako pia tapeli wa mapenzi
Tembelea page yake kaipost.Nini kinaonesha yaliyoandikwa hapo yamesemwa na Gwajima?
Dah mi naumia makonda na magufuli ni miongoni mwa watu niliowakubali sanaHadi naona aibu. Sisi wasukuma... aibu hii. Mara Frent forji, mara Bashite...huku nako baba mchungaji daa
Kwani Shilawadu walimfanya vile kwa ubaya uliona aibu yao lakiniMbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia dawa ikuingie
Naona sasa kachimba na kuingiahahahaha kweli dogo awatch out itamcost hawa wanasiasa c watu wakuwaendekeza asome alama za nyakati lile shimo shigongo alimwambia atalichimba mwenyew
Lakin gwajima anahelcopta...sijui domo ananini?Gwajima amuwez daimond hata kidogo
Sio kujisikia hovyo, nia ni kuharibu brand.
Watoto wa uswazi ndiyo fisi gani hao?
Wafuasi wa Bashite mna safari ndefu zaidi.Waumini wake Wana safari ndefu