Gwajima amcharukia Diamond

Bishop Gwajima Sema Baba
Hao Wanatumiwa Vibaya Wajue Umuhimu Wako
 
Unamoyo sana...
 
Anazingua sana huyu mchungaji na hapo waumini wake kesho watashangilia kabisa duh!i see tumerogwa mahali.
Mbona unamshangilia bashite na amevamia kituo cha mawingu...nani amerogwa hapo kama sio ww
 
Bishop Gwajima
Hujawahi Kushindwa Mwaga Habari Yote
Hao Wajifunze Siyo Kila Mtu Ni Wamchezo
Kama Wametumwa Wajue Kesho
 
Mwambie mchungaji wako ahubiri injili yesu hakufundisha kulipiza kisasi sayeye anawafundisha nini nyie kondoo wake?
 
Huu uzi inalekea utafika mbali sana
 
Clouds FMmmmmmmmmmmm!
Wizara ya Sheria na wizara ya mambo ya ndani ambayo ndio wasimamizi wa Jeshi la POLICE na MAHAKAMA hawafanyi kazi na mitandao ya Kijamii
 
Hahaha...nchi Ina vituko hii....ngoja ninunue hisa voda mgao nadhani utakuwa mkubwa tu.....!kwani kuna mtu kanunua ugomvi nae?km kamtaja bora akaombe radhi tu yaishe maana.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , ila watanzania ni wachonganishi asee.... iwe kwenye ndoa, majiraniiii, yan ni full uchonganishi asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…