Bishop Tapeli gwajimaKama ni tapeli kilichokuleta kwenye huu uzi ni kipi kama siyo ubashite
Zilikuwa dini haswaZa zamani zilikuwaje?[emoji34]
Kama ni tapeli kipi kimekufanya ung'ang'anie huu Uzi? Kaanzishe uzi juu ya utapeli wake.Bishop Tapeli gwajima
Huo ni wivu wenu wa maendeleo tuHuyu kijana anachapiwa mkewe, huku anaingizwa mkenge na bashite!!!
Ndio anaporomoka hivyo!!!!!
Ndio bas tena!!!!
Mchungaji anasoma saa ngabi biblia na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu. Mbona amezama kwenye mambo ya watu (kidunia - ungenyaji, uzushi, ushambenga, n.k.) badala ya mambo ya Mungu?Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Mbona unamshangilia bashite na amevamia kituo cha mawingu...nani amerogwa hapo kama sio ww[/QUO
Huyo mchungaji wenu ndio kawaroga nyinyi anajua kupelekesha akili zenu... Haiwezikani mtu mmoja tu awe anasumbua kwa kueneza habari ambazo hata hazina tija kwa taifa... Tunachotaka ni kazi... Nchi hii tukiendekeza kufatilia haya tutazidi kuwa nyuma Sana..
Unasubiria nini wakati inajulikana ni Gwajima??[emoji32]Nasubiria tu
Umeona eeeHapo hatuna mchungaji
Yasiyo na mbele wala nyuma?,kwa hiyo hata wewe huna mbele wala nyuma? Maana umekomaa na Uzi usio na mbele wala nyuma. Gwajima kachokozwa acha afanye yake. Mtumishi wa Mungu huwezi kumwingiza kwenye wimbo kihuni huni tu kwa manufaa yako na bashite. Walaaniwe wote waluopanga huu mpango ambao ume fail asubuhi na mapemaWATUMISHI WA AINA HII NI HATARI , KILA KUKICHA NI MIPASHO ,VITISHO, VISASI NA MALUMBANO YASIYO NA MBELE WALA NYUMA ,MUHIMU NI KUENDELEA KUHUBIRI NENO KAMA NI MTUMISHI WA KWELI
RC, KKT, etc makanisa yenye mifumo yake Huwezi kukuta ujinga wa akina GwajimaZa zamani zilikuwaje?[emoji34]