Gwajima amcharukia Diamond

Wanataka wamuundie zengwe gwajima ili akamatwe...

Kuna audio book ya calls za bashite na sizonje wake..
Time will tell when to release!!!
 
....Gwajima anakokota pale...anapiga chenga ya kwanza, ya pili, ya tatu...aah anaangushwa ndani ya 18. penati!

penati atapiga Gwajima mwenyewe hapo kesho Jumapili!
Ha hawaaaa mkuu waniua aiseee
 
Ila huyu Mchungaji muflis kabisa baada ya kuhubiri issue za msingi na kukemea mapepo anageuza siku ya ibada kuwa uwanja wa siasa na kuhusu visasi hao waumini wake wanakazi kweli sijui sijui neno la Mungu alilotumwa kalisahau
... Jamani good thing ni kwamba huwa anawatahadharisha mapema, hivi ukiona kibao kuna Mbwa Mkali hapa why go there??
 
Huyu mchungaji kama kweli ni yeye naanza kuyaamini maneno ya padre wetu kuwa mwisho wa kuwajua watumishi wa Mungu fake unakaribia .
Sitamsahau padre Sixtus mambo aliyomfanyia yule mtoto
 
nilivoanza kusoma hi post nikajua tu ni wewe.hakuna ambaye angetarajia tofauti na hii comment toka kwako
 
Wewe kama nani?
 
Hivi mnadhani kuwa kwenye spotlight ya userebiti au siasa ndio uhalali wa kusema chochote kilicho akilini mwako eee...[HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG] kaka Dai...maana sio kwa taizi hizi za Gwaji. Teh teh teh
 
Who is Gwajima Dah! I wish Ningekua mm yani nimetoa Huo wimbo Alafu nimsikie mjinga mmoja Ananitishia kudadeki kingenuka Kuna Baadhi ya Watu Nimeona Mmeshaanza upuuzi wa kumwogopa Huyu Gwajima Ndugu Fear God NoT Human
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…