Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Wanataka wamuundie zengwe gwajima ili akamatwe...

Kuna audio book ya calls za bashite na sizonje wake..
Time will tell when to release!!!
 
2ad363f95abafa093bfbe990e06de40f.jpg
Ila Tz kuna vipaji umasikini wa nchi ndio tatizo
 
Ila huyu Mchungaji muflis kabisa baada ya kuhubiri issue za msingi na kukemea mapepo anageuza siku ya ibada kuwa uwanja wa siasa na kuhusu visasi hao waumini wake wanakazi kweli sijui sijui neno la Mungu alilotumwa kalisahau
... Jamani good thing ni kwamba huwa anawatahadharisha mapema, hivi ukiona kibao kuna Mbwa Mkali hapa why go there??
 
Huyu mchungaji kama kweli ni yeye naanza kuyaamini maneno ya padre wetu kuwa mwisho wa kuwajua watumishi wa Mungu fake unakaribia .
Sitamsahau padre Sixtus mambo aliyomfanyia yule mtoto
 
Diamond Platinum uka sawa kabisa watu wanadakia mambo na kupublish tu hata kusikiliza kwa makini haja sikiliza.

Nyimbo yako iko vizuri sana na ina ujumbe mzuri sana kwa watu wote wa Serikali,Viongozi,wazazi na mwanainchi wa kawaida na pia wanamitandao .

Ukiusikiliza unalijenga Taifa kimaadili na si kulibomoa.

Ujumbe kwa Askofu Gwajima na wasaidizi wake muda umefika wa kufanya Yale ya maana sasa na si kufanya mambo ya kitoto ambayo hayalisaidii Taifa Bali kuleta mtafaruki na kutengana.

Jitafakarini Mara mbili mbili na kama kuna jambo mnalitafuta basi muda unahesabika mtalipata tu.

Wahubirini waumini wenu kuacha maovu na kumrudia Mungu ili wafike Mbinguni.

Kila mmoja afanye wajibu wake kama utaratibu wa nchi tulivyokubaliana ndani ya Katiba ya mwaka 1977 na si vinginevyo
nilivoanza kusoma hi post nikajua tu ni wewe.hakuna ambaye angetarajia tofauti na hii comment toka kwako
 
Akofu Gwajima. Kama kweli ndiwe uliyenena maneno hayo. Imenipa shaka na utumishi wako kwa Yahu Eloi wetu. Ila inanipa kujua kabisa kuwa unamtumikia mungu na si YAHU ELOI wetu. Umenielewa vizuri.

kwa mliobakia mjue kuwa kuna miungu mingi mno. inayoabudiwa kwa namna mbali mbali. ila Yahu ni mmoja tu muumba wetu na mbingu zote. Zaburi 82.
Wewe kama nani?
 
Hivi mnadhani kuwa kwenye spotlight ya userebiti au siasa ndio uhalali wa kusema chochote kilicho akilini mwako eee...[HASHTAG]#kajiandae[/HASHTAG] kaka Dai...maana sio kwa taizi hizi za Gwaji. Teh teh teh
 
Who is Gwajima Dah! I wish Ningekua mm yani nimetoa Huo wimbo Alafu nimsikie mjinga mmoja Ananitishia kudadeki kingenuka Kuna Baadhi ya Watu Nimeona Mmeshaanza upuuzi wa kumwogopa Huyu Gwajima Ndugu Fear God NoT Human
 
Back
Top Bottom