Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2]MOND KATULIA KAONA DNA ZA WATOTO ZITAWEKWA HEWANI
Ila Tz kuna vipaji umasikini wa nchi ndio tatizo
Ha hawaaaa mkuu waniua aiseee....Gwajima anakokota pale...anapiga chenga ya kwanza, ya pili, ya tatu...aah anaangushwa ndani ya 18. penati!
penati atapiga Gwajima mwenyewe hapo kesho Jumapili!
Acha ujingaKama Gwajima ni kiongozi wako kiroho jitafakari, hakuna mzaha kwa ufalme wa Mungu!
... Ayaaaaa, wanafanya hivyo mkuu??Anaibiwa tu! Watu wanampiga "mbuzi kagoma" deile.
... Jamani good thing ni kwamba huwa anawatahadharisha mapema, hivi ukiona kibao kuna Mbwa Mkali hapa why go there??Ila huyu Mchungaji muflis kabisa baada ya kuhubiri issue za msingi na kukemea mapepo anageuza siku ya ibada kuwa uwanja wa siasa na kuhusu visasi hao waumini wake wanakazi kweli sijui sijui neno la Mungu alilotumwa kalisahau
Sitamsahau padre Sixtus mambo aliyomfanyia yule mtotoHuyu mchungaji kama kweli ni yeye naanza kuyaamini maneno ya padre wetu kuwa mwisho wa kuwajua watumishi wa Mungu fake unakaribia .
nilivoanza kusoma hi post nikajua tu ni wewe.hakuna ambaye angetarajia tofauti na hii comment toka kwakoDiamond Platinum uka sawa kabisa watu wanadakia mambo na kupublish tu hata kusikiliza kwa makini haja sikiliza.
Nyimbo yako iko vizuri sana na ina ujumbe mzuri sana kwa watu wote wa Serikali,Viongozi,wazazi na mwanainchi wa kawaida na pia wanamitandao .
Ukiusikiliza unalijenga Taifa kimaadili na si kulibomoa.
Ujumbe kwa Askofu Gwajima na wasaidizi wake muda umefika wa kufanya Yale ya maana sasa na si kufanya mambo ya kitoto ambayo hayalisaidii Taifa Bali kuleta mtafaruki na kutengana.
Jitafakarini Mara mbili mbili na kama kuna jambo mnalitafuta basi muda unahesabika mtalipata tu.
Wahubirini waumini wenu kuacha maovu na kumrudia Mungu ili wafike Mbinguni.
Kila mmoja afanye wajibu wake kama utaratibu wa nchi tulivyokubaliana ndani ya Katiba ya mwaka 1977 na si vinginevyo
Ndio nyie mtamwambia Mungu Askofu Gwajima kaingiaje mbinguni sisi umetuacha! Mnakremisha sana tatizo!Hapo ndiyo utakumbuka kuwa "Siyo wote waniitao Bwana, Bwana watauona ufalme wa Mbinguni"
Wewe kama nani?Akofu Gwajima. Kama kweli ndiwe uliyenena maneno hayo. Imenipa shaka na utumishi wako kwa Yahu Eloi wetu. Ila inanipa kujua kabisa kuwa unamtumikia mungu na si YAHU ELOI wetu. Umenielewa vizuri.
kwa mliobakia mjue kuwa kuna miungu mingi mno. inayoabudiwa kwa namna mbali mbali. ila Yahu ni mmoja tu muumba wetu na mbingu zote. Zaburi 82.
Wala sio siri!... Ayaaaaa, wanafanya hivyo mkuu??
Hiyo mitabia ya kukrem mtaacha lini?Mwambie mchungaji wako ahubiri injili yesu hakufundisha kulipiza kisasi sayeye anawafundisha nini nyie kondoo wake?
Mbona anatuhumiwa sana na Emma Mbasha na huwa hamjibu kabisa?He is not a fake bishop, he is supposed to defend his Kondoo!