Hata mdingi wako ni feki!!!Askofu feki
Acha tu aendelee kumuongezea Diamond hela..Baba mchungaji mbona ni maarufu siku nyingi.... Single Touch Double Manifestation.....
Una uhakika kama ni yeye aliyetoa hiyo kauli?Anawashwa huyo!
check akaunti yake ya instagram inaitwa: bishopgwajimaDaaaa vijana mmeamua kumlisha Bwana Gwajima maneno mazito. Siamini kama ni yeye aliyetoa hayo maneno
Najua ni mandishi ya kupachika kwahiyo?Watanzania wengi ni wajinga sana, wewe ni mmoja wapo, hauna hata viulizo kuwa hayo ni maandishi ya kupachika hapo ktk picha??
Kama huyaamini hayo subiri kesho akinena.Nini kinaonesha yaliyoandikwa hapo yamesemwa na Gwajima?
Mkuu viwanda havijengwi bora drama zitatupunguzia hii miaka mitatu iliyobaki ikaonekana michacheduuh sikutegemea, yaani season 1 imeisha leo saa 8 baada ya roma kupatikana. alafu haijapita ata siku tayari season 2 inatoka. ni mwendo wa drama tu sasa, viwanda baadae.
Huu ndiyo mwisho wake, vijana wa mjini sio wa kucheza nao, asianzishe vita asiyo iweza!Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Atasaidia bashite kuweka vyeti vyake hadharaniAndaa na shukrani kwani anafanya kazi nzuri
Tulia dawa ikuingieMbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
King kwenye familia yako.Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
ahaaaa nimecheka mpaka basi final battle for total discpline!Haaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
haaaaaaaa nimecheka sana.. Gwajima nomaHuenda hii ni fursa ya baba yake Diamond kupelekwa kwenye matibabu na Gwajima