Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Watanzania wengi ni wajinga sana, wewe ni mmoja wapo, hauna hata viulizo kuwa hayo ni maandishi ya kupachika hapo ktk picha??
Najua ni mandishi ya kupachika kwahiyo?
Tusubiri tuone kama Gwajima atarespond au laa. Mara ngapi hata kwenye page yake hupost hivyo na baadaye huviongelea?
 
duuh sikutegemea, yaani season 1 imeisha leo saa 8 baada ya roma kupatikana. alafu haijapita ata siku tayari season 2 inatoka. ni mwendo wa drama tu sasa, viwanda baadae.
Mkuu viwanda havijengwi bora drama zitatupunguzia hii miaka mitatu iliyobaki ikaonekana michache
 
K
Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Huu ndiyo mwisho wake, vijana wa mjini sio wa kucheza nao, asianzishe vita asiyo iweza!
 
Hayo maneno juu ya picha 'yameongezwa' sio maneno ya original tweet!
 
Back
Top Bottom