MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,267
Mkuu umewaza mbali. Kesho baba yake Diamond anaweza kupandishwa madhabahuni.Huenda hii ni fursa ya baba yake Diamond kupelekwa kwenye matibabu na Gwajima
Afu bashite tumuite IS auGwajima siyo mchungaji Ni tapeli
Yes hawa feki ndiyo wana uthubutu wa kusema ukweliwachungaji fake
Vs vyeti fekiwachungaji fake
Amepaza sauti zetu vyema...pale ambapo hatuwezi kusema yeye kasemaAtasaidia bashite kuweka vyeti vyake hadharani
hance upo raisi wa wambea ? wapi warumiMsichafue hali ya hewa
Hance Mtanashati anapita
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lets assume ni kweli kasema hivyo? Mlengwa ni nani na kamsema nini?Kama huyaamini hayo subiri kesho akinena.
Mimi ikipotea nauza figo nanunua nyingineHahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi
Kachokoza moto acha umuwakiehahahah mtto wa tandale kesho zamu yake kikaangoni
Sio tuonyeshe vyetiWanaosali hapo kanisani wapimwe akili....
Hongera kwakujitambua wewe ni kilaza sasa itafute kweli ikuweke huruHii ni Mara ya Pili na ya mwisho Kuku quote. Nahangaika na MTU ambaye kichwani ni Bashite.
Au alisajili kama mtetea wanyonge....au alisajili kama helicopter...au alisajili kama bwawa wa samaki, au hakusajili ila alisajiliwa....nadhani ndio mawazo yako...nimekuongezea ufurahiNi wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
daaaahhance upo raisi wa wambea ? wapi warumi
Gwajima anataka umaaurufu upi tena? Zaidi ya alionao tena, unaompeleke mpaka kurithi ufalme wa mbinguni!!Mbona hajamtaja kwa baya, Gwajima anahangaika tu....Anataka apatie umaarufu kwa Diamond.
Ngoja tuharibu brand kesho ndiyo mtapata akili.kama ni ya Zari mbona tunaijua? au ya baba yake Dai yote hayo twayajua, au ya Freemasn....mbona hayo pia tetesi twazijua? anyways kesho sio mbali