Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Tukutane maeneo ila msisahau kubeba sadaka
f99d7b896cd5aa1fd6907ca87ca65105.jpg
 
Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
Au alisajili kama mtetea wanyonge....au alisajili kama helicopter...au alisajili kama bwawa wa samaki, au hakusajili ila alisajiliwa....nadhani ndio mawazo yako...nimekuongezea ufurahi
 
Back
Top Bottom