Macho kodo
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 122
- 127
King is Jesus Christ,not abdul nasibSiri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Sio serikali iende nacte iangalia jina la bashiteNi wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima aka mzee wa Singe Touch Double Manifestation kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa
Ni kanisa lake.Gwajima Kulitumia kanisa Kumjadili Diamond ni upuuzi!!
Kwani viongozi tuliowachagua tuliwachagua ili wawe wavamizi wa ofisi za watu???Ni wakati wa Serikali kurudi kwenye masijara na kuangalia usajili wa kanisa la Ngwajima kama alisajili kama kanisa au tawi la kisiasa la .......
Subiri moto uwake , wanafiki wote kuwekwa hadharani .Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king
Ukiwa na kitochi,au smart 4ne bila bundle,nchi utakuta ishauzwa hujui.Haaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
Mkuu umewaza mbali. Kesho baba yake Diamond anaweza kupandishwa madhabahuni.
Au Ivan don kesho anaweza kuja Ubungo kumfuata watoto wakehaaaaaaaa nimecheka sana.. Gwajima noma
Nani kijana wa mjini hapo?K
Huu ndiyo mwisho wake, vijana wa mjini sio wa kucheza nao, aianzishe vita asiyo iweza!
Kama pesa haipatikani kama enzi za jk na vicheko tukose?Haaaaaa mzee wa Double manifestation... nimecheka jamani Tanzania kila leo kunaibuka jipya
instagram kaweka hivyo....Hayo maneno juu ya picha 'yameongezwa' sio maneno ya original tweet!
Thibitisha,tupe ushahidiGwajima siyo mchungaji Ni tapeli
Teh teh teh...!Au Ivan don kesho anaweza kuja Ubungo kumfuata watoto wake
Yellow Masai , Mimi nikikosa dagaa si taabu sana nitatumia chumvi, ila nikikosa bado najawa stressHahhaaa kweli kila siku linakuja jipya. Siku nikipoteza smartphone sijui itakuaje. Maana naona wasiokuwa na smartphone hawaifaidi hii nchi
GWAJIMA MNAMWITA MCHUNGAJI MCHUNGAJI GANI ALIYEGEUZA KANISA KUWA JENGO LA MIPASHO????coming soon:
Wahi mkuu kesho inaonekana kutajaa sanaa...mm asubh na mapema kabla la mkojo wa asubh ntakuwa maeneo ya tanesco paleTukutane kwa Gwajima
King gani anasaidiwa kutia mimber?Siri gani Diamond anayo. Huyo Gwajima anatumia kanisa vibaya visasi tu
Diamond is a king