Gwajima amcharukia Diamond

Gwajima amcharukia Diamond

Watanzania wengi ni wajinga sana, wewe ni mmoja wapo, hauna hata viulizo kuwa hayo ni maandishi ya kupachika hapo ktk picha??
Kwa hiyo ww ulitaka hayo maandishi yawe ni sehemu ya mwili kama mkono? Ww una mapepo.
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Huyu ni mjasiliamali, kupata sadaka unatakiwa uongeze udambwi udambwi. Kesho kama kawaida mida [emoji784] ya saa nne kanisani. Ila siendi na sadaka
 
Almasi pole yako.Umemchokoza mshalishali utayapata unayotaka.Bora ungekaa kimya tu.......Kesho mambo yatakuwa mubashara
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Naye alikudanganya, tatizo hata Biblia hamuijui mnaokota okota vijineno! Nani alikwambia hiyo ndio namna ya watumishi wa Mungu au wakristo kudeal na wahuni? Yesu alipokutana na wahuni "aliwashughulikia kihuni" vile vile, na ndio maana alipindua meza. Diamond na Bashite wanaungana kufanya uhuni kwa gharama za Diamond kulipa hisani anayofanyiwa, hivyo Mchungaji Gwajima lazima amshughulikie Diamond...maana kwa kufanya hivyo atakuwa amelisaidia taifa ambalo limejaa akina Bashite wasiojua athari zinazotokana na "ushirika wa Diamond na Bashite"!
 
Hahahaaaah, teh, teh teh! Yaani kama unastress we tune JF tu, yaani ni tiba tosha!
 
Huyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Hapo ndiyo utakumbuka kuwa "Siyo wote waniitao Bwana, Bwana watauona ufalme wa Mbinguni"
 
Kazi kweli
Na ivi ndio viwanda vyenyewe, sio mpaka uone mashine ikichambua sijui mahindi au mpunga.
Ivi ni viwanda vya kuzalisha huduma ya maombezi na kuchambua maisha yalivyo kwa watu maarufu.
Sema Mchungaji angeweka na TV [emoji342] yake au radio [emoji343] au blog yake tuwe tunapata dondoo zake
 
Nasubiria tu
Gwajimaaaaaaaa
Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba..... lakini mi nafkiri watu wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa nini ilikuwa maana yangu haswa... Hususani kama kipengele nilichomtaja mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: "mara nasikia vya aibu Konda na Gwajima eti ugomvi umekolea....ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea..."
Point yangu ni kwamba licha ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na kumaliza...nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana...ikapelekea hadi kufikia hapa...asa hapo kosa langu mie liko wapi?
Chonde chonde mzee wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho , mana nakujua ukimuamulia mtu.... naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima
 
Leo lazma ujumbe wa wcb uende kwa gwajima kuomba yaishe

Back
Top Bottom