Mzee mungu atakuona Jamaa kaondoka na ndala na kumuacha mke unafikili ni mchezoAskofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Kwa namna alivyochafuliwa jina lake ana kila sababu ya kufanya hivyo, si kwa wiki moja au mwezi mmoja, hata mwaka mzima kila Jumapili akiamua kuweka neno linalomhusu Makonda/Bashite atakuwa sahihi kabisa sawa na kumtaja Shetani kila ibada.Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Kiongozi wa dini anaehubiri Upendo huku anashinikiza visasi na kuumiza wengine ni ajabu sana.Kwahio madhabahu ya kanisa la ufufuo na uzima yamegeuzwa kijiwe cha siasa????
Hatusikii neno la bwana ila Bashite...sasa Gwajima amekuwa mtafsiri sheria na kutoa hukumu...
Somo hili limetoka kwenye injili ipi na mie nipitie nipate upako?Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.
Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.
“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema
Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.
Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Lete vyeti bashite usionee wenzako we ukiambiwa maovu yako useme umeonewaKiongozi wa dini anaehubiri Upendo huku anashinikiza visasi na kuumiza wengine ni ajabu sana.