upepomkali
Member
- Mar 4, 2017
- 19
- 6
Mimi nilitegemea mchungaji kama hata amekosewa angesamehe tu lakini wapi, inasikitisha sana mchungaji kuwa na visasi, kumbe Yale maandiko ya MUNGU yanaelekea kutimia " kuwa mwisho wa dunia watatokea wachungaji wengi uchwara" kama akina Gwajima. Hivi hata hao waumini wake kweli wanaakili nzuri kweli au amewapumbaza. Bibilia inasema kabisa kuwa " msamehe aliyekukosea mara elfu wa sabini". Sasa huyu Gwajima anatumia bibilia gani?