Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Majibu Haya yananifanya nianze kupata wasi wasi na "thinking capacity" ya huyu mtu anauejiita mchungaji, maana hoja zake zinaonesha kama kuna "back up" toka mahala au chanzo flank,

kwani sioni matumizi ya kipawa cha kichungaji kabisa katika mahubiri yake ya hivi Karibuni , afu wakristo hatufundishwi kulipa jino kwa jino , ngumi kwa ngumi.

Sasa najiuliza Je angekuwa ni wa "upande ule wa ng'ambo" si ndo angetamani hata kujitoa m....nga kwaajili ya hayo makaratasi..

Uko sahii kabisa kwani kuna wanaoitwa marais lakini hawana KIPAWA CHA URAIS KABISA...!!

Tafakari...!!
 
Yaani [HASHTAG]#daudalbertbashite[/HASHTAG] tunaye mpaka kieleweke tunamdondosha! Hiyo haina mjadala wala pooo
 
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.
Hahahaha
 
Kanisani siyo mahali pa kutafutia kondoo, ni mahali pa kulisha kondoo...!!
Gwajima kuongea na kondoo wake katika kile kinachomuumiza siyo dhambi...!!
Gwajima ni binadamu mwenye utashi kama binadamu wengine, anaumia kama binadamu wengine, ana hasira kama binadamu wengine...!!
Gwajima hana tofauti na Magufuli, wote ni baba wa watu...kama Magufuli alivyo na hasira zisizo isha kwa wale walioimba wana imani na mtu fulani, ndivyo Gwajima anaweza kuwa na hasira na wote wanaomchafua...!!

Tafakari...!!
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.
 
Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Kwenye ile clip ya leo kasema yeye alishamaliza, lakini hapa katikati ya wiki amejitokeza mtu akachafua hali ya hewa ndio maana leo ameongea, na akichokozwa tena ataongea tena na tena hadi mhusika aombe msamaha
 
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.
Nilipokuwa darasa LA tano, nlikuwa nikichokozwa nahakikisha ugomvi hauishi. Hadi nilipize kisasi. ULikuwa ni utoto ulioendana na umri wangu
 
BASHITEISM v/s GWAJIMAISM. Bashte altumia mamlaka yake kama mkuu wa mkoa vibaya akamtuhum pasta bila ushahd, na pasta nae anatumia madhabau yake kumshambulia BASHTE, wote wanamakosa. ila bashte ndo alilianzsha ngoja alnywe
 
Na kwa kiongozi wa dinikukaa kimya mahali pasipo na haki na usawa huku wenzako wakiumia ni dhambi pia..ni halali Gwajima aseme ule ulio ukweli,mladi tu sio kwa lengo la kulipiza kisasi au kumkomoa mtu,kwa upande wangu,yuko sahihi..kwa sababu anasema ukweli ambao Watanzania tulio wengi tulikua hatuujui.#Asante_Mch_Gwajima
Kula

Kula like like like 10
 
Na baada ya kusema hayo ni kondoo wa bwana wangapi waliompokea yesu kwa injili hiyo mpya ya mtakatifu Gwajima? Maana hilo ndio jukumu lamsingi aliloitiwa,kama ameitwa kweli.
Nina mashaka kama ALIITWA kweli ama ALIJIITA.
Na kama aliitwa basi sauti hiyo ILIKWISHA NYAMAZA. Na kumwacha afuate NJIA zake mwenyewe.
 
Ni kosa kubwa sana Ku forge au kutumia vyeti vya MTU mwingine. Ila ni ukichaa na upuuzi kiongozi wa dini kuendeleza visasi na vita na MTU. Kama kiongozi wa dini Gwajima anapaswa kujua kuwa Makonda/Bashite ni mkosefu kama wengine (wezi, wazinzi nk). Anayofanya Gwajima ni upuuzi kuliko ubashite wenyewe. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa na mipaka na utu. Gwajima ameamua kuwa assassin Sasa. Makonda awajibishwe lkn Gwajima inatosha Sasa.
Wewe hapa umejisema. Usipende kuwa HAKIMU wa Matendo ya watu wengine. Hicho kipaji kitumie kujikosoa. Just watch and Learn. Jifunze kimya kimya kutokana na yanayoendelea.
 
Mmh ! Ana hasira,hasira huishi vifuani mwa wapumbavu.Kuhusu hilo la madhabahuni naomba nisijibu.

Ndiyo, naweza kukubalina na wewe kwa sababu hata mimi siupendi upumbavu wa mzee wa kaya kwa kuhakikisha anawamaliza wote walio kinyume chake...!! Upumbavu nu upumbavu tu...uwe kwa mkuu wa mkoa, kwa rais, kwa mkuu wa wilaya, kwa mchungaji , kwa askofu, kwa profesa, kwa daktari...WOTE NI UPUMABVU TU, NA WENYE HASIRA ZISIZOISHA WOTE NI WAPUMBAVU TU BILA KUJALI NAFASI ZAO...!! TUACHE UNAFIKI...AKIFANYA GWAJIMA TUIITE UPUMBAVU, WAKIFANYA WALIOSEMA "NINGEWAPOTEZA WOTE" TUNASHANGILIA...!! WENYE HASIRA WOTE NI WAPUMBAVU KWA MUJIBU WA MAANDIKO...!!

Tafakari...!!
 
Mkuu sipingi kuwa Makonda anatakiwa awajibishwe. Ninachohoji ni kiongozi wa dini anaehubiri msamaha na Upendo kushindwa kuwa na mpaka. The fact kwamba ameshajitetea na kumwanika Makonda, na kwa kuwa kanisani ni sehemu ya ibada, ingetosha tu akawaachia wengine waendeleze alikoishia. Its pathetic niende kanisani kuhubiriwa Bashite kila jumapili.
Wewe kinakuuma nini?Gwajima anatetea haki kuna watu wamefukuzwa kazi kwa vyeti haki,Makonda naye apewe haki yake
 
Right thing in a wrong place.
Kwann aongelee masuala ya siasa madhabahuni??
 
Back
Top Bottom