Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

Kwahio madhabahu ya kanisa la ufufuo na uzima yamegeuzwa kijiwe cha siasa????

Hatusikii neno la bwana ila Bashite...sasa Gwajima amekuwa mtafsiri sheria na kutoa hukumu...
Ndo nashangaa
 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.


Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.


“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema


Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.


Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Mzee wa Bwimbwi at work
 
Mungu kawatuma Manabii na Mitume ili wahubiri sheria ya kukemea dhambi za kufoji vyeti
 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ametaja makosa ya kisheria yaliyomfanya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda kukimbilia Afrika Kusini.


Akizungumza leo kanisani kwake, Ubungo, jijini hapa, Gwajima alidai kosa la kwanza la Makonda ni kughushi cheti ambacho kinaonyesha yeye ni Paul Makonda wakati akifahamu kuwa yeye ni Daudi Bashite.


“Kosa hilo kwa mujibu wa Gwajima ni kifungo cha miaka saba.Kosa jingine ni kula kiapo cha ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa akisema yeye ni Makonda wakati akijua yeye ni Bashite,” alisema


Gwajima alisema kosa la hilo la kula kiapo na cheti feki ni kifungo cha miaka mitatu.


Kosa jingine alisema ni kupokea mshahara na posho kwa jina la Makonda wakati akifahamu si yeye na kuongeza kuwa kosa hilo likithibitika atatakiwa kurudisha mishahara na posho zote alizochukua.
Huyu Gwajima anatumwa na wauza ngada nini! Mbona kila uchao hana mahubiri mengine kanisani zaidi ya kumshambulia Makonda?
 
Lakini kwa nini Makonda asiionyeshe vyeti vyake vya kielimu hadharani? Kwa nini Makonda anaitesa serikali hadi na yenyewe imegeuka bubu ktk kulizungumzia suala hili la Makonda. Ni kashfa kwa mamlaka husika serikalini kubakia kimya inapotokea kuna sintofahamu kama hii. Sasa inaingia wiki ya tatu lakini mamlaka husika zote zinaona aibu japo tu kutoa tamko la vyeti vya ndugu Bashite. Lawama ziende kwa mamlaka zifuatazo hapa chini: Necta, Tamisemi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma, Wizara ya Elimu, Tume ya maadili ya Viongozi wa umma na Department of Criminal investigation. Serikali yenye kufuata vigezo vya utawala bora (good governanc) ni lazima ulitolee ufafanuzi jambo hili la Makonda ili kutuliza maneno ya uzushi na kashfa huku mitaaani.
 
Haaaa haaaaaa mbavu zangu jamaniii.
Nimecheka sana. Eti kitabu cha Kubenea.
Ndiyo dini uchwara na bishop uchwara.

Kweli, kazi bado tunayo kama Taifa kwa dini kama hizi kibwetele wa Uganda watu wengi hawatamwepuka aisee .

😀😱😀
Nimesikia eti andiko limetoka mwanahalisi
 
Uaskofu hauwezi kutengana na Gwajima labda awe amekufa
Swali tena, je, aliitwa polisi kwa sababu ya uaskofu wake au kama raia mwingine yeyote? Suala la kutotengana na uaskofu wake ni la kiimani zaidi kuliko sheria.
 
Hivi Gwajima alishamfufua kaka yake ambaye alitangaza kuwa atamfufua toka mwaka jana? Jamani hii miungu utu hii, hivi inakuwa na nguvu gani mpaka inapata misukule?
 
Makonda oyeeeeeeee

Bila yeye haiwezekani, cuta waumini ndugu

Wapo watatoa sadaka kila siku kusikiliza juu ya Mh. Makonda.

Eti kakimbia ha ha haaaaa, mtu anakimbia nchi na cheo bado chake...why hakuutubia lusema na cheo sio chake tena na kuwapa tarehe au hata kusema ukweli Mkuu wa Mkoa wa Dar yupo wapi dk aliyokuwa amuongelea?


Naishia hapa

Kiongozi jembe mwenye kutikisa haswaaaa
 
BASHITE ULAANIWE. UMESABABISHA NASALI NA GWAJIMA LIVE MTANDAONI BILA KUPENDA.

ULETE VYETI


Ha ha haaaaaaaaa

Vyeti toeni ninyi lol
Au kagonge nyumbani kwake

Unali au unasubiri kusikia uongo anaojua mtasema ni ukweli.

Ususahau kuwatumia na sadaka.

Kweli udaku mbaya hahahaaaaaaa

Toa sadaka kwa mchungaji, usisahau na 10% au unafikiri kuwarusha hawatumii pesa.

Mmejiunga wangapi na kanisa lake, ha ha haaaaaaaa

Mola ndiye ajuaye yote

Ha ha haaaaaaaaaaaaa
Wafata mikumbooooooooooooo
Muokoke sasa au mbadili dini.

Udaku, uongo kumbe njia nzuri kuvuta kupitia wananchi wenye uvivu, wivu na tamaaa
 
Anzisha ya kwako na wewe uifanye ya biashara mkuu, hujakatazwa.

Wewe inakuuma nini, anzisha yako uifanye utakavyo, hiyo ni yake anaifanya atakavyo, wewe unataka kumpangia jinsi unavyotaka aiendeshe umemsaidia kuianzisha?
Zama zile alipokua akimsifu mfalme hatukusikia wakisema sasa basi sifa zimetoshaa[emoji3] [emoji3]
 
Ha ha haaaaaaaaa

Vyeti toeni ninyi lol
Au kagonge nyumbani kwake

Unali au unasubiri kusikia uongo anaojua mtasema ni ukweli.

Ususahau kuwatumia na sadaka.

Kweli udaku mbaya hahahaaaaaaa

Toa sadaka kwa mchungaji, usisahau na 10% au unafikiri kuwarusha hawatumii pesa.

Mmejiunga wangapi na kanisa lake, ha ha haaaaaaaa

Mola ndiye ajuaye yote

Ha ha haaaaaaaaaaaaa
Wafata mikumbooooooooooooo
Muokoke sasa au mbadili dini.

Udaku, uongo kumbe njia nzuri kuvuta kupitia wananchi wenye uvivu, wivu na tamaaa
Mkuu kama una No ya BASHITE nisaidie. GWAJIMA anakula MB zangu kichizi nowdayz.

Mm naomba tu vyeti basi sina shida na u RC wake!!
 
Back
Top Bottom