Mbulula ni Daudi Bashite, kama hana tatizo kwanini hakanushi tena kwa kutoa ushahidi. Bashite 0 katika ubora wake.mbulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
Mbulula ni Daudi Bashite, kama hana tatizo kwanini hakanushi tena kwa kutoa ushahidi. Bashite 0 katika ubora wake.mbulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
KwakoHii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
Haina kuchuja Cd ya Bashite hadi kieleweke.Hii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]BASHITE ULAANIWE. UMESABABISHA NASALI NA GWAJIMA LIVE MTANDAONI BILA KUPENDA.
ULETE VYETI
Except this!anything if too much is harmful!
Mkuu kama una No ya BASHITE nisaidie. GWAJIMA anakula MB zangu kichizi nowdayz.
Mm naomba tu vyeti basi sina shida na u RC wake!!
Ha ha kabisa na vuvuzele twampigia atoe vyetiKama umechoka kalale. Na Bashite wako akirudi tu, tunaenda kumpokea Airport na tutaondoka nae kwa maandamano mpaka balaza la Taifa la mitihani.
Hajasamehe nini?99% ya mafundisho yake ni hulka zake binafsi na sio mafundisho ya YESU KRISTO, visasi na majivuno si kwa wana wateule wa MUNGU, husuda na kutosamehe ni mipango na viashiria vya shetani, this guy is really a false prophet who have/will lead many to hell,
Sina Evidence. Pia siyo Lawyer.Kuliko kumaliza kwa MB nenda kamshitaki au huwezi?
No, about Kolomije guy it's hot cake till presida take action on her. Sorry kwani bashite ni jinsia gani?anything if too much is harmful!
Nakujibu mara hii tu.Swali tena, je, aliitwa polisi kwa sababu ya uaskofu wake au kama raia mwingine yeyote? Suala la kutotengana na uaskofu wake ni la kiimani zaidi kuliko sheria.
Aa wapi. Mkuu hii Cd haijuchi mpaka stelingi auwawe ama akubali kuacha maneno aweke vyeti.Hii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
Kweli mkuu kabisa, unakuta anayesema dini biashara yeye sadaka huwa hatoi kina muuma nini..... Sisi tunataka vyeti tu hapa.... Wanataka Gwajima anyamaze ili tusahau.... Gwajima baba endelea kuwasha moto... Wembe ni ule ule hadi atoe vyeti.... Walivyokuwa wanafukuzwa kazi wengine walikuwa ni watz wa plastic na Makonda ndo binadamu sasa. Sote kwa mungu tupo sawaAnzisha ya kwako na wewe uifanye ya biashara mkuu, hujakatazwa.
Wewe inakuuma nini, anzisha yako uifanye utakavyo, hiyo ni yake anaifanya atakavyo, wewe unataka kumpangia jinsi unavyotaka aiendeshe umemsaidia kuianzisha?