Hujalazimishwa kumfuatilia kilichokufanya ufungue uzi huu nini si Kuna mambo Dodoma kwanini usipite kule...Huyu nae katushosha badala ahubiri habari njema za kwenda Mbinguni watu waokoke yeye kutwa kuingiza mambo yake binafsi madhabahuni kwa Bwana ,ama kweli mtawatambua kwa matendo yao
ametolokajeee?mtu kaishakimbia nchi bado mnamshikia bango
Kama umechoka kalale. Na Bashite wako akirudi tu, tunaenda kumpokea Airport na tutaondoka nae kwa maandamano mpaka balaza la Taifa la mitihani.mbulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
Umechoka wewe, usiwasemee wengineTumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.
Dom upo weweHii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
Wengine tumebaki na bashite, mkitoka Dom mta tujoin. Si mnarudi kesho? Msisahau kutuchukulia zabibu jaman! HAPA VYETI TU!.Hii CD ishachuja.. Now tupo Dom...
..jambo mamy...embu muulize mwenzako "ametorokaje?? hahahhaaa
mbulula gwajima, mpaka anaboa, tumechoshwa na mambo yake ya ovyo
Tumeshawachoka sasa, naona Makonda anatumika kama mtaji wa kibiashara na huyu mtu, Dini kwake ni biashara, mkubali mkatae.
mbona unaumia zaidi kuliko watoa sadaka wenyewe?? pilipili iko shamba wewe uku unawashwa na nini??Mimi niliisha Sema sana bishop uchwara Gwajima ni mpiga deal tu , sasa anatumia jina la RC kupiga sadaka