GE2025 Gwajima anaweka chumvi za Udini kwenye hotuba zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Waislam akili amna haswa mnaoenda misikitini ndiyo ovyo kabisa ushuzi wa bata
😀😀😀 kwa matusi haya unadhani watakubali kumchagua Gwajima aongoze nchi?

Au mnafikiri, wataacha Samia aguswe?

Mkimgusa Samia nchi itapasuka kwelikweli, Waislamu wawachinja kila mmoja wenu kama kuku!!

Jitoeni ufahamu tu, si mnawajua lakini...
 
Yetu macho
 
Kuweni na aibu hata kidogo basi, jasusi wa mbinguni anafir*na na kurusha mitandaoni? Gwajiboy ni mshenzi kama walivyo washenzi wenzake wengine...hana jipya zaidi ya kuhamasisha chuki za udini nchini.
Jikite kwenye hoja zake badala ya personal attacks... ndiyo maana nikasema kumuelewa na kujibu hoja zake ndio Kimbembe...hoja hujibiwa haipigwi rungu 🤣
 
Jikite kwenye hoja zake badala ya personal attacks... ndiyo maana nikasema kumuelewa na kujibu hoja zake ndio Kimbembe...hoja hujibiwa haipigwi rungu 🤣
Sasa unataka hoja zake zijibiwe au zifanyiwe kazi, mbona hueleweki Mrs. Gwajiboy?

Kuna tofauti kubwa sana kati ya "kujibu" na "kufanyiwa kazi"

Itoshe kusema hamna cha maana alichowasilisha zaidi ya kujiliza mbele ya Camera makanisa yake yafunguliwe apate ugali kwa kuwaibia waumini.
 
Sikiliza Allah na mtume wake muhammad na msahafu unasemaje siyo mnajua kwenda misikitini kubinua jijambio tu

Mbona hii imeletwa ikajibiwa vizuri tu . Hivi ulikuwa umekunywa mbege Leo ndio Ulevi umekutoka?
 
Certified idiot katika ubora wako...
 
Mbona hii imeletwa ikajibiwa vizuri tu . Hivi ulikuwa umekunywa mbege Leo ndio Ulevi umekutoka?
Imejibiwa wapi ?haya nijibu wewe utamchagua samia kuwa rais wako.?
 

Acheni ujinga na uchawa fungueni kanisa
 
We kafiri ..waislamu wakusikilize wewe au muhammad? Mwanamke kuwa kiongozi ni haramu haramu haramu
Kafiri wewe mla nguruwe 🐷ni wapi nimezungumzia habari ya uongozi wa mwanamke?
 
Hivi unadhani kuna zaidi ya Samia kwa sasa?
Kwa mujibu wa Allah na Muhammad na musahafu 👉muislamu awezi kwenda kumchagua mwanamke kuwa kiongozi kwa wanaume ...hapa mashekh ubwabwa wamebanwa kinafiki .....tunataka jibu je waislamu mtamchagua samia kuwa Rais ? Samia kasema katiba ni kijikitabu tu je na waislamu mnasema MUSAHAFU NI KIJIKITABU TU 😁😁😁 Jagina adriz Malaria 2 FaizaFoxy
 
Udini umeanza na waliofungia makanisa kwa sababu ya dini zao
 
We fara Samia alindwi na waislamu bali na mafisadi
 
Mwenye udini ni gwajima au ni yule alofungia makanisa
 
Hii ndio shida ya watanzania upotoshaji.

Gwajima katumia muda mwingi sana kuwa neutral katika kutoa hoja.

Hizi ndio sababu katika kazi ya kujenga nchi hakuna muda wa ku-entertain upuuzi.

Gwajima kila mfano wa dini kajaribu kuiweka Israel (temple mount), Saudi Arabia (Mecca na Madina), Vatican.

Na kuelezea malengo ya nchi (sio kazi ndogo kujaribu ku-balance hoja zake) kuelezea uozo uliopo serikalini.

Shida ya Ma-CCM na watu wengine wa hovyo wasio na nia njema na mama Tanzania ni uchonganishi.

Kama umemsikiliza Gwajima japo anakiri imani yake ndio inamuongoza na anawajibu wa kuongoza watu kiroho.

Udini aukuwa na nafasi katika maelezo yake.

Wafuasi wa CCM ni shida, waongo na wagombanishi wajamii.

MaCCM hayajali kutuchonganisha huku mtaani kwa maslahi yao.
 
Wewe ni ustaadhi kweli au ni sheikh ubwabwa maana naona unachambana tu, kwanza wewe mwenyewe una udini moyoni mwako.
Kwanza Gwajima haumuwezi sio level zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…