Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Mwambie akaleeee mtoto

Mtoto mwenye kadi hii napata ukakasi kuwa amini Uhuru FM bora shiladu hawakurusha hyo kitu.
Hata iweje Daudi aje ajibu tuhuma za vyeti na kutembelea magari ya watuhumiwa wa ngada.
 
Kwa mtindo huu gwajima atajipatia sadaka za kutosha maana ugeni wa wambea utakuwepo kanisan kwake
 
Hiyo kadi ya kliniki,inaonekana kutokamilika kujazwa taarifa za mama,au ndio mwendelezo wa kufoji nyaraka?
Kuna vitu vya kuangalia:
1.zahanati gani au hospitali ilipotolewa hiyo kadi?
2.Kuuliza kama kadi inaweza kuachwa bila kuandikwa taarifa zilizoachwa ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…