Kiongozi, andaa suti yako ili kesho uwahi kiti cha mbele kumsikiliza Gwajima akijibu mapigo. Kama unajiandaa kwenda kumsikiliza Gwajima akijibu mashambulizi ya wabaya wake, utashindwa kuchukua rushwa ili ukipigie kura chama fulani??
Only in Tanzania!!
Nishanyoosha nguo ,sitaki kuhadithiwa hapa kabisa
Nakuona Nakuona Unakula tu ubuyu.
Kama nikalale kanisani kwake vile"Ukisikia sheikh anaingia kanisani ndio kesho pale ufufuo na uzima"
Haya majina Daudi hawezi kuyasahau hata akiwa kaburini.Huku Gwajima, kule Mange......Daaah
Daaah!!!maana story zenu za kula Cocaine kule mbezi zitawekwa hadharani plus michezo yenu ya ushoga
Yaani kwa vitendo yanini kupigishana kelele?hakuna mtu aliekaza msuli kisawa sawa ataambiwa atoe vyeti vyake vya uhitimu akaanza kujiliza liza hovyo.
Hii wiki imeenda vizuri kweliHaya majina Daudi hawezi kuyasahau hata akiwa kaburini.
Mie mmojawapoToka mwezi February 2017 hadi leo mchungaji ngwajima na mange kimambi wame nufaika sana Kwa kuongeza idadi ya mashabiki na wapenzi wa Kazi zao
Cha nani. ? Daahnimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
Huendi kusikiliza ibada ila siasa ndani ya kanisaHa ha ha haa!
Ngoja nikanyoshe nguo ya kanisani mapemaaaaa.
Ibada ya kesho itakuwa tamu sana. Mungu naomba usinipite kesho mimi.
Cha nani. ? Daah
nimekutumia soma nafutaHii wiki imeenda vizuri kweli
Cha nani. ? Daah
big boss anayelipa mshahara kina shilawaduCha nani. ? Daah
Ni sawa... Unavyoona lakini, Makonda naye amefanya kazi aliyosajiliwa kufanya?Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Inakuuma eeeh...kuliko hata mke wa makonda mwenyewe hahahahaha pole lakini ndo uzuri wa kuzaliwa na roho ya kike.....vumiliaSiku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe