Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Kiongozi, andaa suti yako ili kesho uwahi kiti cha mbele kumsikiliza Gwajima akijibu mapigo. Kama unajiandaa kwenda kumsikiliza Gwajima akijibu mashambulizi ya wabaya wake, utashindwa kuchukua rushwa ili ukipigie kura chama fulani??

Only in Tanzania!!
df098ea1413fa280f0b87a66f5d18dd3.jpg

Nishanyoosha nguo ,sitaki kuhadithiwa hapa kabisa
 
Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
Ni sawa... Unavyoona lakini, Makonda naye amefanya kazi aliyosajiliwa kufanya?
 
Siku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
Inakuuma eeeh...kuliko hata mke wa makonda mwenyewe hahahahaha pole lakini ndo uzuri wa kuzaliwa na roho ya kike.....vumilia
 
Back
Top Bottom