Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Inchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
Nchi haindeshwi kwa kufuata katiba na sheria wacha iendeshwe kwa mitandao ya kijamii
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hii nchi hii inabidi tuendeshwe kidikteta, Mh.Rais JPM, nakuomba komesha huu mchezo wa kigasho gasho unaondelea baina ya hawa 'watoto' wawili, tumechooooookaaaaaaa!!!! Please baba, stop this madness!!!!!
 
oya mbav zangu asee zimechoka kcheka
 
Jamani hivi sasa hivi ni SAA ngapi? Nimeshaoga na kuvaa SUTI kuelekea ubungo kwa gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…