Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi haindeshwi kwa kufuata katiba na sheria wacha iendeshwe kwa mitandao ya kijamiiInchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
Mange February alkua na 890+k now yupo 950k mpk April Ana 1M.Toka mwezi February 2017 hadi leo mchungaji ngwajima na mange kimambi wame nufaika sana Kwa kuongeza idadi ya mashabiki na wapenzi wa Kazi zao
Nchi haindeshwi kwa kufuata katiba na sheria wacha iendeshwe kwa mitandao ya kijamiiInchi haitajengwa kwa majibizano ya mambo binfsi ya watu.NAANZA KUKOSA MAPENZI NA NCHI YANGU AMBAYO INAENDESHWA KWA MITANDAO YA KIJAMII
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]View attachment 483089
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram
Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite kamchokoza,asilie tu maana wakizidiwa utasikia oooh mtumishi gani wa Mungu hajui kusamehe
Nan nyie kina soudy brown na kwisa kesho nawaonea huruma kwenye page ya Mange maana story zenu za kula Cocaine kule mbezi zitawekwa hadharani plus michezo yenu ya ushoga
Mbaya zaidi Mama Trump naye ataanika michepuko ya ma boss wenu hapo clouds
Hongera Bashite kwa kukoroga kinyesi,movie linazidi kunoga
Cha yule aliempiga mkwala Mange kuwa atasema Kumbe Mr Kibamiabig boss anayelipa mshahara kina shilawadu
[emoji87]wote hata soudy brown na wanakula cocaine sana,sitaki tu kuwataja wengine hapo clouds wanaofanya usagaji na ushoga plus unga,wanakula asilimia kubwa sana pale
oya mbav zangu asee zimechoka kchekadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................................................! hiyo kesho sikosi
nimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
Me niko getini aseeee watu wameweka oda mpk ya viti. Wahiiiii usije kukaa nje.Jamani hivi sasa hivi ni SAA ngapi? Nimeshaoga na kuvaa SUTI kuelekea ubungo kwa gwajima
labda kaenda nje ya nchi kufanya surgeryHivi CEO wa Clouds Media Group Ndugu Joseph Kusaga yupo kweli nchini Tanzania? Sijamtia machoni siku nyingi sana.
Hahahaaa!nimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
ahahaaa wai siti kiti buku tanoJamani hivi sasa hivi ni SAA ngapi? Nimeshaoga na kuvaa SUTI kuelekea ubungo kwa gwajima
stay tunedHahahaaa!
Wahi mwendo kasi tuu mapema kesho...Kesho kiti cha mbele mapema ufufuo
Hivi le brother huwa anaongea na simu tuu mda wote...yeye kila picha siku iko sikioniView attachment 483108
Jamaa wako KOLOMIJE HAHAHA KESHO WATAUMBUKA.LEMUTUZ NI NDUMILA KUWILI YAANI ANAKULA HUKU NA KULE
SWISSME